Rais Magufuli huyu hakupaswa awe Waziri wa Kilimo!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
Kuna wabunge wengine wa KUCHAGULIWA wakisimama na kutoa michango yao unagundua kuwa wanalitendea haki bunge na taifa letu.

Kuna Mawaziri pia ambao wametokana na wabunge wa KUCHAGULIWA wakisimama kutoa michango yao unagundua pia kuwa hawakupaswa kuwa katika nafasi walizopo.

Huyu ni mmoja wa Mawaziri ambaye hakupaswa kuwa Waziri wa kilimo!

Rais naomba umpeleke katika Wizara inayomfaa kulingana na uwezo wake.

Ni ushauri tu kulingana na fikra zangu! Ukipenda chukua au achana nao!

VIDEO:
 
Usinichagurie mtu wewe , mimi ndiyo najua kuwa anafaaaa!!! (iweke kwenu tune ya kanda ya ziwa penye 'L' weka r)
 
Mie nadhani hakupaswa hata kuwa mbunge pia,labda angekuwa kwenye ofisi ya CAG.
Kuna wabunge wengine wa KUCHAGULIWA wakisimama na kutoa michango yao unagundua kuwa wanalitendea haki bunge na taifa letu.

Kuna Mawaziri pia ambao wametokana na wabunge wa KUCHAGULIWA wakisimama kutoa michango yao unagundua pia kuwa hawakupaswa kuwa katika nafasi walizopo.

Huyu ni mmoja wa Mawaziri ambaye hakupaswa kuwa Waziri wa kilimo!

Rais naomba umpeleke katika Wizara inayomfaa kulingana na uwezo wake.

Ni ushauri tu kulingana na fikra zangu! Ukipenda chukua au achana nao!

VIDEO:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni kama kuhoji baba yako alimpendea nini mama yako?

Huyo ndio waziri aliyemfaa Raisi kwa vigezo vyake Raisi.
 
Back
Top Bottom