Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

Huko NIDA Kuna shida, inavyonekana wanaogopa kumwambia mzee magu ukweli!
Wao Wana Kufa na Tai shingoni

Ova
 
Haitoshi, vijana wamezagaa mjini wanauza soksi. umetoka job unataka kupumzika sehemu unaona kundi la vijana aged 15- 30 wanakuja kundi as if wanakuvamia alaa kumbe wachuuzi...kila mtu na kiroba chake...

Hawa wanatakiwa wawe mashambani wakizalisha....hawa wanatakiwa kuingia ubia na Serikali...Serikali inatoa resources wao ni NGUVU KAZI...umri wao unarihusu...

Hii kauli haitoshi...ondoa hawa vijana mjini wakafanye kazi huko mashambani watajirike...weka utaratibu mzuri wa uzalishaji na masoko... hela ya Dreamliner moja tu unawabadilisha hawa vijana kabisa kabisa..!!
Vijana wakipata pesa hawatakuwa WANYONGE tena, Serikali ya huyu jamaa na wenzake akina Polepole inataka Wananchi waendelee kuwa wanyonge ili iwatumie kwa manufaa yake mbali mbali. Tazama mfano wa GENGE LA LUMUMBA (Vijana wa buku saba saba), wamachinga, mamalishe na wengineo, utapata picha ya Wananchi wanaohitajika na hii serikali ya CCM.
 
U ruined ur life... Usiwalaumu watu kwa failure zako kwenye maisha. Pitia upya sababu za maisha yako kuvurugika unaweza kutwa ni bad decisions na kutocheza kadi zako vyema
Mkuu, wewe kama una DANGA linakutunza usimkejeli mwenzio. Unajuaje madhila aliyopatiwa? Je, kama ni kati ya wanaodai pesa zao za korosho? Hiyo itakuwa ni "failure" yake tu?
 
Korosho alitetea wakulima against walanguzi.
Mahindi anawatetea wakulima bei iwe juu.

Endelea kupinga upate more likes
DG wa Nida bila shaka Sasa hivi yupo mbioni kwenda moro

Nguo za kubadilisha kesho atanunua huko huko

Mahindi bei ijipange automatically lakin Korosho bei inapangwa na Amiri jeshi
 
Its a message nenda kaone shida na utafute solution...
Kwa kukaa Dar hakuweza kuona wala kuwaza

Tuongeze nguvu kupinga kila kauli za JPM
Mkurugenzi akienda morogoro itasaidia nini? Magufuli sometimes kichwa kikipata Moto hawezi kufikiria!!!
Au Mkurugenzi anatembea navyo Kwenye begi?
 
Ungeshauri amwambie nani?
Bado una add may be zisizo msingi ili uhalalishe ujinga wako
Subiri mpe kura yako 2020 ndio inayotafutwa tu, izo ni siasa tu sasa mkurugenzi kwani ndie anayekwamisha, mkurugenzi hazai vitambulisho, vile vitambulisho you never know pengine ata karatasi za kuchapishia serikali hawana, pengine hawana staff wa kutosha kwenye hii ajira zoezi ndio linakuwa gumu lakin akisimama atasema mkurugenz njoo haraka.

yaani mtapelekeshwa kweli kweli nyie nyumbu.
 
hivyo ungeshauri asiende Moro kuona changamoto na kutafuta solution?

JPM ameliona tatizo alipofika Moro.
Kuna ubaya gani kumuita muhusika aone uhalisia?

Kuwaongoza wajinga ni rahisi sana. Wanapinga hoja nyepesi wanaacha mambo ya msingi.
Sasa mkurugenzi akienda Morogoro ndio itakuwa nini? Matatizo ya NIDA yanajulikana, rasilimali walizonazo haziendani na mahitaji halisi,kimsingi wamezidiwa.

Wanahitaji, fedha, ofisi,rasilimali watu na vifaa vya kutosha sio mkurugenzi wao kwenda Morogoro! Wanasiasa waache kutafuta cheap popularity. Tufanye kazi,sifa zitakuja tu kama kweli ni za muhimu.

Naona hapo juu kuna watu wanasifia hiyo amri ya kwenda Morogoro,wananchi tujitahidi kupunguza ujinga, upumbavu na ushamba. Tujifunze kuwa critical thinkers, tuache ushabiki wa kitoto na ulimbukeni.
 
Korosho ni kutetea wakulima dhidi ya wahindi
Mahindi anaongelea bei ibaki juu wakulima wafaidike.

Win win kwa wakulima wa mahindi na korosho.

Korosho ni hoja mfu... tafuteni vya muhimu zaidi
Nimesikia Muheshimiwa anasema hawezi kupanga bei ya mahindi, yakipanda yapande huu ni mwaka wa wakulima na wafanyabiashara.

Okay thats well and good free market in the workings, swali linakuja ni wapi soko huria linaishia, mbona kwenye korosho hatukufuata market inavyosema?

Sioni ubaya wa kuchagua njia hii au ile, ila we need consistency.
 
Anachoangalia JPM ni kumlinda mkulima.
Korosho na pamba soko liko mikononi mwa wahindi.

Mahindi soko kubwa ni wananchi wenyewe.

Yuko kumjali mkulima zaidi.
We are really in big trouble.

Tatizo la NIDA si Morogoro peke yake, ni nchi nzima. Huyo Mkurugenzi maskini sijui atajigawa vipi. Kila wilaya ina ofisi siku hizi. Kwa nini isitumike hiyo? Hilo la kwanza, la pili, hizo ofisi za NIDA zinapewa fedha za kutosha kufanya kazi hiyo? Jibu ni dhahiri, bajeti yao ni ndogo sana.

Kuhusu biashara ya mazao, naona kuna mkanaganyiko mkubwa zaidi. Ni soko huria au serikali itaendelea kupanga bei kama kwenye korosho na pamba? Itaacha kuwazuia wakulima kuuza nje ya nchi ili wapate bei nzuri?
 
Soko la korosho limeharibiwa wapi?
Mkulima atalipwa bei ya juu korosho
Viwanda 14 vya kubangulia korosho vya Nyerere vinafufuliwa.

Hii agenda imepoteza mvuto kwa wapinzani.
Besides mnatetea wahindi ndio wafaidika wa korosho...
Hhahaah baada ya kuharibu soko la korosho, Bangi sorry tumbaku, Mahindi etc ndio anakuja na huu msemo saa hizi?? Hongera sana san aserikali ya awamu ya Tano
 
kulinda mkulima dhidi ya wahindi...
Mahindi analinda mkulima kupata bei ya juu zaidi.

Mnachojadili ni taarabu ya kupanga bei vs kutopanga bei.

Ila kwa kumlinda mkulima serikali inaweza kufanya price intervention anytime..
Mbona Bei ya korosho anapanga bei?
 
Hakuna serikali inaweza kubadili akili ya vijana... Badilikeni wenyewe....

Kwa sisi wazee tuliona hayo kwenye Geza Ulole na Kigugumo .. vijana waliswagwa huko haikufanikiwa sana.

Usililie Bombadia koz tutaongeza nyingine nyingi soon.

Back
Top Bottom