Rais Magufuli, hebu liangazie macho hili la Ziwa Nyasa!

Issue ya eneo LA kaskazin mwa MTO Kagera no tofauti na eneo LA ziwa Nyasa. Kagera kimataifa Sisi ndo tulikuwa Wa miliki na Uganda walituvamia, lake Nyasa wamiliki in Malawi, tukiwavamia tutakuwa aggressors.[/QUOTE
Hapo naona wanacheza na karata ya majina tu,,,,,,,,wao lake Malawi,,,,,,sisi ziwa nyasa lakini wrote tunatumia sawa. Tazama pia lake Tanganyika mbona hatudai letu?,,,,,,nchi zote zinazozunguka ziwa hili hulitumia
 
Umeongea jambo ambalo sisi tunao kuwa na safari za mara kwa mara kwenda Malawi limekuwa kama kero, ukisoma vitabu vya malawi vya geographia vinaeleza ziwa lote liko Malawi, wanasiasa na waandishi wao wa habari msimamo wao ni huo.

Ukija huku kwetu sidhani kama waandishi wetu wa habari ama wanasiasa wanalipa uzito jambo hili sawa sawa na wenzetu,!
Tumekuwa na hulka ya kupuuza mambo mengi yanayohusu Taifa hili.
Na hata huko kwenye mahakama za kimataifa za utatuzi wa migogoro ambako suala hili limepelekwa ninapata shida kuwa na matumaini ya ushindi hii ni kutokana na aina ya wanasheria tulio nao.!
Sikumbuki kama kuna kesi yoyote ya kimataifa ambayo Tanzania ilishtakiwa kisha ikatoka na ushindi, ninadiriki kusema tuna wanasheria ambao wapo kwa maslahi yao binafsi au waliajiriwa kwa njia ambazo hazikuhusisha kuangalia ubora wao.!

Angalizo: Kwa Elimu waliyo nayo Malawi yamkini tukapata shida sana kuwashinda katika meza ya kisheria katika utatuzi wa kadhia hii..
Si kweli.wajaribu waone
 
Mjerumani hakuwahi kumiliki sehemu ya Ziwa Nyasa, waingeleza walikuwa wamesh mtangulia ktk harakati za Ku claim umiliki. Mwingeleza alimiliki ziwa lote. Baadaye aliingia kwenye mazungumzo na Wareno, wakabadilishana sehemu ya ardhi ya Mozambique kwenda Malawi, na Malawi akatoa sehemu ya ziwa. Kwa upande Wa Tanzanyika hill halikufanyika maana Mara ya mjerumani kuondolewa Tanganyika, mwingeleza alipewa usimamizi akitumai atapewa Tanganyika kuwa koloni lake. Na alianza jitihada za kuunganisha mambo ya utawala Wa sehemu ya mkoa wa Mbeya na Kalonga. Alipokataliwa mwaka 1945 kupewa Tanganyika kama koloni laki alighafirika na kusitisha jitihada na kuunganisha sehemu ya mkoa Wa Mbeya na Kalonga. Hivyo akabakisha mipaka kama ilivyoachwa na Wajerumani
Eneo lote la Tanganyika lilikuwa likimilikiwa na wenyeji chini ya machifu watemi wami wakama nk. Ziwa Niassa kama yalivyo maziwa mengine yanayotuzunguka, halikuwahi kuainishwa mpaka wake na wajeremani kama watawala.Nguvu kubwa aliielekeza Tanga na Kilimanjaro. Ziwa nyasa halikuwahi kuwa na shughuli nyingi za kibinadamu kwa pande zote mbili za Malawi na Tanganyika zaidi ya wakisi na wamanda wachache waliokuwa wakiishi kwa kutegemea uvuvi, Kwa kuona huo mwanya mwingereza kama mtawala upande wa Malawi akashirikiana na Sir Hasting Kamuzu Banda ambaye alikuwa kibaraka wa uingereza ndio waliojitangazia ziwa lote kuwa la Malawi na kilibadilisha kutoka Niassa kuwa Malawi.Carl Peter German Explorer
 
Ili ziwa nyasa lote liwe la malawi inabidi na wilaya yote ya kyela iwe ya malawi. Sababu ni kwamba maji ya ziwa huwa yanasogea au kukauka.
Kyela mjini zamani ilikuwa km 40 ilipo kyela mjini ya sasa, ilihamishwa baada ya kuharibiwa na maji yalisogea.
 
Eneo lote la Tanganyika lilikuwa likimilikiwa na wenyeji chini ya machifu watemi wami wakama nk. Ziwa Niassa kama yalivyo maziwa mengine yanayotuzunguka, halikuwahi kuainishwa mpaka wake na wajeremani kama watawala.Nguvu kubwa aliielekeza Tanga na Kilimanjaro. Ziwa nyasa halikuwahi kuwa na shughuli nyingi za kibinadamu kwa pande zote mbili za Malawi na Tanganyika zaidi ya wakisi na wamanda wachache waliokuwa wakiishi kwa kutegemea uvuvi, Kwa kuona huo mwanya mwingereza kama mtawala upande wa Malawi akashirikiana na Sir Hasting Kamuzu Banda ambaye alikuwa kibaraka wa uingereza ndio waliojitangazia ziwa lote kuwa la Malawi na kilibadilisha kutoka Niassa kuwa Malawi.Carl Peter German Explorer
Ndugu mipaka inayotambulika ni ili iliyochorwa na wakoloni walipogawana bara LA Africa pasipo kujali mipaka ya jamii husika ndo maana Wanyakyusa walijikuta wakitenganishwa na mpaka wengine Malawi na wingine Tanganyika. Madai ya Kamuzu yanatokana na alichorithi kutoka kwa mtawala wake na yalikuwa ni masharti ya kupata Uhuru kuheshimu mipaka tuliyochorewa.
 
Mikataba ya UN inatutaka tuheshimu mipaka tuliyoachiwa na wakoloni wetu. Mipaka ya wakoloni ambapo bila wao hakuna Tanganyika wala Malawi inaonyesha kuwa ziwa lote ni la Malawi. Hapa hoja ya Tanzania ni kuwa maziwa yote ya mpakani mipaka ipo katikati wakati Malawi wana mkataba mezani unaoeleza kuwa mpaka wa wakoloni unawapa haki ya ziwa lote. Tisubiri tione hoja Za Mkuu atakapotembelea Mbeya
 
Back
Top Bottom