Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 274
Kusema kweli Rais Magufuli hayupo serious katika mapambano ya madawa ya kulevya mana kaingia kila sehemu kupambana na uovu ila hakuna chochote alichofanya katika mapambano ya madawa ya kulevya.
Sa sijui ana nini mpaka haingii katika mapambano. Mana watu wengi wanatajwa na japo si kama wote lakini wangekuwepo wengine wapo wanafanya hizo biashara na mbona watumiaji wanajulikana kwanini wasiende kuwauliza.