Rais Magufuli, hawa watu wanakugombanisha na Israel

Huyu Songoka hata hajui anachoongea mijitu mengine inakurupuka bila kujua historia. Ukibishana na mpumbavu au mjinga nawe unakua mjinga.
 
Hawa watu ni wa ajbu sana!,wapalestina kwanza pale sio kwao ni wavamizi,wenye kwao wamerudi fuatilieni historia mjue sio kuleta propaganda zenu hazina mbele wala nyuma.Viva israel.
 
Kampeni za boycot israel mbona ziko hata ulaya,marekani etc.?
Hayo ni mambo ya kawaida wala kwa mtu mwenye akili hawezi hata akapoteza mda kuanzishia uzi
 
Tunahaki ya kupinga kila uonevu unaotokea duniani
Hivi ndivyo alivyotufundisha mtume wetu mtukufu sanaaaaaaaa MUHAMMAD SAW
 
Israel ibarikiwe waendelee kuwa na amani waisrael wapate fedha waendelee kuwa na akili ya uvumbuzi kila siku eee Mungu ibariki Israel na Tanzania pamoja na mm na familia yangu
Iendelee kuwauwa wapalestin,waendelee kuwafunga kizazi waafrika wanaishi Islrael, waendelee kuwabaguwa watu weusi.
 
Mada ya kipuuzi hii....na wewe chomeka bendera ya Israeli kwenye gari lako kuridhisha nafsi yako, Mbona umechelewa kuliona hilo bango vipi na zile stika za kubandika kwenye magari umeziona?
 
NON OF YOUR BUSINESS
KWANI WEWE NI MUISRAEL AU WE NI KIBARAKA WAO?


KAMA VIPI NAWEWE WEKA MABANGO YA KUITETEA HIYO ISRAEL

HIVI LINI WAAFRIKA MTAKUWA HURU KIMAWAZO?
Ya nje tunayashangilia sana lakini hapa polisi anapotoa masharti ya kipi mbunge ahutubie, wote kimya. Sasa nani yupo huru hapa?
 
mi nimefanya nao kazi na bado nafanya nao kazi huku Mikocheni. Jamaa wanachapa kazi sana, wana akili na wala si watu wa majungu. kiukweli mi nimewapenda sana. wanajali utu na wana uzalendo mkubwa sana kwa nchi yao. hawa jamaa ndo walianza kunifundisha kudai risiti kila naponunua bidhaa. walisema si vizuri kuiibia serikali. wakanifundisha suala la usafi popote nilipo.
nimewapenda sana. kiukwel hawapend uvivu. wanataka ufanye kazi na wanakulipa vizuri sana kwa kazi unazofanya. THESE ARE VERY WONDERFUL PEOPLE. NAZIDI KUWAOMBEA WAISRAEL HUKO WALIKO PIA WAZIDI KUDUMU NA KUJIMALISHA UKICHUKULIA WAMEZUNGUKWA NA MAADUI.

Badala uombee tanzania unaombea manyang'angau ao...ivi umeshafanya nao ata kazi ukaona ni watu wa nanma gani? Wabaguzi sana ukikaa nao masaa ma2 tu utawachukia.
 
Tanzania haipingi wala haiungi matendo ya Israel so hawa watu watafute nchi nyingine ya kusambaza ujumbe wao huo
Soma historia mkuu, Tanzania inaipinga Israel mchana na bila kificho. Hicho ulichoona ni maadhimisho ya Siku ya Kuds, yanayofanyika kila mwaka kukumbukia uvamizi wa Wazayuni kwenye ardhi ya Palestina.
Ni jambo la haki na la kujivunia sisi kuwa miongoni mwa wahubiri haki.
NB; Kwa habari ya Uzayuni, Taifa hili lilishagombana pakubwa na Israel, usiogope.
 
WAISLAMU DUNIA NZIMA NI WALALAMISHI. Ukienda SYRIA,UKIENDA EGYPT,UKIENDA IRAQ, ukienda KULE UPANDE WAO NIGERIA. watu gani mnakuwa walalalinishi hata kwenye nchi zenu wenyewe?
 
Kuna dhehebu la kiislam, kama sikosei makao makuu yake yako pale KIGOGO kona, opposite na kituo cha polisi ambalo limekuwa likiendesha propaganda dhidi ya israel.

Hili dhehebu linaonekana ni pro Palestine, na kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitengeneza posters, na banners zenye kuunga mkono taifa la palestine na kulisifia katika harakati mbalimbali, lakini pia kukemea na kushutumu maadui wa Palestine.

Hii trend ilichukua hatamu saana wakati ule Israel walipokuwa wakipigana na Palestine katika ukanda wa Gaza, lakini imekuwepo kwa kipindi kirefu kidogo.

Kinachonifanya niandike uzi huu na kuwa na wasiwasi ni baada ya kuona watu hawa wameanza kununua mabango makuubwa ya barabarani (side ways super posters) na kuweka hizi propaganda zao dhidi ya Israel ambazo kimsingi si nzuri sana kidiplomasia. Mfano ni bango lao ambalo liko UN ROAD jirani na almuntazir secondary.

Hivi akija mgeni Tanzania na kukuta haya mabango mitaani atapata tafsiri gani?? Dini lengo lake ni kumwabudu Mungu, Mbona hawa watu wanaachiwa kuendesha propaganda dhidi ya nchi kubwa duniani ambazo sisi kama Tanzania hatuna uhasama nazo.

Serikali tafadhari liangalieni hili, it will seriously damage our diplomatic relationship with ISRAEL

Watu kueleza hisia zao sio vibaya. Ni jambo lililo wazi kuwa Israel imekalia kimabavu ardhi ya Palestina. Hili halina ubishi na ni dhuluma ya wazi wazi dhidi ya taifa la Palestina. Kama kuna kikundi kimeamua kulisemea hili hakuna ubaya wowote ili mradi hawajavunja sheria za nchi.
 
WAISLAMU DUNIA NZIMA NI WALALAMISHI. Ukienda SYRIA,UKIENDA EGYPT,UKIENDA IRAQ, ukienda KULE UPANDE WAO NIGERIA. watu gani mnakuwa walalalinishi hata kwenye nchi zenu wenyewe?

Wewe hujawaelewa ndio maana waona ni walalamishi. Ukiwaelewa hoja zao hutokuwa na fikra hizo.
 
WAISLAMU DUNIA NZIMA NI WALALAMISHI. Ukienda SYRIA,UKIENDA EGYPT,UKIENDA IRAQ, ukienda KULE UPANDE WAO NIGERIA. watu gani mnakuwa walalalinishi hata kwenye nchi zenu wenyewe?
Mbona hata humu jf kuna watu walalamishi,wanapinga kila jambo linalofanywa na magufuli?na wao ni waisilaamu.
 
hatuongelei dini kuunga mkono dini , Tunaongelea dhehebu Fulani, na si dini yote ya uislam, kushambulia nchi Fulani ambayo sisi watanzania hatuna tatizo nayo
Ukitaka kuona siyo suala la dini, Dhehebu la Gwajima wabandike bango barabarani la kuipinga Palestina.
 
Wewe hujawaelewa ndio maana waona ni walalamishi. Ukiwaelewa hoja zao hutokuwa na fikra hizo.
kina jamaa wanajiita ISLAMIC STATE lakini hivi juzi wamelipua msikiti huko mji wao mtakatifu....hujaona hayo maajabu
 
Back
Top Bottom