Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,139
- 56,599
Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.Hakuna kitu kama hicho