battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,672
- 2,540
Ni kweli kabisa, Lakin ikiwa atakufa atakufa kwa ahadi yake kufika ,si kwa Corona.Kubali au kataa Rais Magufuli atakuja kuwa shujaa katika kupambana na kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 kwa jinsi ya maagizo yake. Anaweza kuwa siyo mwanasiasa mzuri lakini hakuna shaka anaitendea haki taaluma yake sayansi ya kemia. Ebu sikiliza wanasayansi wenzake wanavyosema baada ya tafiti zao.
Huyu mzee ana Maono makali sana, lakini wengi hatumuelewi kwa sababu ya Media za dunia kutupulizia sanaa upupu wa corona.
Kila TV duniani inaongelea corona,ujuwe iko kitu nyuma ya pazia.
Mwenye kuona ni yule mpembuzi tuu na mwenye uwezo wa kuunganisha 'dotts'
Magufuli nampongeza sana kwa kuonesha Uoni mkali sana juu ya hili.
Hongera mzee kwa hili la corona.
Lakini sikusifii kwa kila jambo, yako mengi tuu umechemka TZ ,
Ruhusu mikutano ya siasa ianze ili angalau vyama vipate kufufuka na kujiandaa na Uchaguzi wa october 2020 kama upo.