Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Baba mwenye nyumba katengwa na majirani zake, tulimis sana maneno yake dah, ngoja tumsubirie

Leo lazima itoke mchomo mipya baada ya mbuzi, papai, oil kuwa na corona.
 
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.

Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.

Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.

JF will cover it LIVE
Jiwe kalisaliti Taifa kwa kukimbilia mafichoni wakati wa vita, hakuna anayetaka kumsikia abaki hukohuko alipo...
 
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.

Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.

Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.

JF will cover it LIVE
Kwa hiyo tutasikiliza naya Mbowe maana nasikia nae leo anahitubia taifa
 
Back
Top Bottom