Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,899
- 33,464
Hata huyo kigogo anamsubiri Magufuli.Mwambie hatuna muda wa kupoteza. Tuko na Kigogo 2014 tu.
Wanafunzi wakae mguu sawaNamsubiria Mwenyekiti Wangu Awajibu waliotufungia Mipaka.
No, wa tisa..Wanafunzi wakae mguu sawa
Nayaona masomo yakirejea June!
Wanafunzi wakae mguu sawa
Nayaona masomo yakirejea June!
Hahahah... Kigogo 2014 ndio mtoa taarifa wa chadema sasa sijui wanafaidika na nini?Mwambie hatuna muda wa kupoteza. Tuko na Kigogo 2014 tu.
Mtafikiriwa!Wazazi hali mbaya kiuchumi. Hizo ada tutatoa wapi jamani. Tafadhalini sana
Jiwe kalisaliti Taifa kwa kukimbilia mafichoni wakati wa vita, hakuna anayetaka kumsikia abaki hukohuko alipo...Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
JF will cover it LIVE
Bora akae kimya maana anaenda kuharibu zaidi..Huyu mzee akitokea,anatokea na nondo
Halafu Necta, kidato cha 6 lini ? na kidato cha 4 ifanyike lini? au ndo mwakani? na darasa la 7? timing nzuri ni June na date zinaweza kua fixed
Asante sana kwa taarifa hii, usingesema, wengine tungepotelea kwenye telenovelas marudio ya wiki.Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
JF will cover it LIVE
f6 watafanya mwezi wa 11, then Kidato cha 4 wa nneHalafu Necta ,kidato cha 6 lini ? na kidato cha 4 ifanyike lini? au ndo mwakani? na darasa. la 7? timing nzuri ni June na date zinaweza kua fixed
Kwa hiyo tutasikiliza naya Mbowe maana nasikia nae leo anahitubia taifaMhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
JF will cover it LIVE