Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
946
1,000
Nimejikuta nacheka sana yaani. Mashindano mpaka kwenye ugonjwa?

Hii inaitwa tusitishane kama wewe mwanao aliumwa COVID19 na mimi wangu aliumwa hiyo hiyo COVID19. Na kama wewe ulimpeleka mwanao hospital mimi wangu nilimfukiza tu na akapona.

Kweli mambo ni moto.

Bado nasubiri kusikia kutokà kwa mtoto wa Lipumba,Zitto na Hashim Rungwe.
 

Nowonmai

JF-Expert Member
Jan 15, 2019
348
500
Nuhu na wanawe walijiweka kwenye lockdown ya kwanza iliyoasisiwa na Mungu na wao peke yao ndio waliopona janga la gharika( Mwanzo 6:11-9:19)

Mungu ndio muasisi wa lockdown.
 

Dr. Sajjad Fazel

Verified Member
Jan 7, 2014
436
500
Muhimu: Jinsi ya kujenga kinga ya mwili
Kwenye video hii naeleza vitu vinne vitakavyo imarisha kinga ya mwili yako.

Kuendelea kupata dondoo za Afya kwa kupitia video, Bofya Hapa: Subscribe
 
May 6, 2020
19
45
Siku zote fikiri alafu ndio upate muda wa kuandika, ivi tujiulize sisi Kama raia wa Tanzania tumeifanyia mangapi mazuri serikali zaidi ya kulaumu tu?, Unataka serikali ikufanyie jambo zuri lakini umeshawaza wewe au mimi ume/nimeifanyia mangapi serikali ili niweze kuilaumu!, What's ideas do we have to prove that.

I need to get something from the government, my friends, we should be good even once to thanks the government, ivi unapolaumu serikali , umeshaniliza wewe mwenyewe mangapi hujayatimiza uliyowaahidi ndugu, watoto , jamaa na marafiki, hapo ndio ujue uongozi ni kazi kubwa ,,

Hebu jaribu kugombea tu ata mshauri wa wanakijiji uone Kama hawajakukera na kuamua ujiuzuru, naamini kila mtu Ana mawazo yake, MIMI MAWAZO YANGU NI KUWAZA NITAIFANYIA NINI MAZURI SERIKALI YANGU NA SIO KUILAMU HAIJANIFANYIA MANGAPI.

Tena tunatakiwa tuwe msitari wa mbele ili kumuunga Rais kwani anatenda kila siku mazuri kwa manufaa ya watanzania, alafu usilaumu huku wewe au Mimi ndio wa kwanza kusumbua kulipa Kodi au kukwepa kulipa Kodi,Big up Sana kwa Serikali mko vizuri, ni kuchapa kazi tu, Mimi binafsi Nina Imani na serikali yangu, tuwe kitu kimoja ili kuleta maendeleo ya kweli.
 

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
3,984
2,000
Mwenyekiti wa CCM katika amekuwa akitoa sababu nyingi sana katika janga la korona, lakini kuna maswali pia ya kumuuliza mwenyekiti huyu.

Je, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alipimwa na nini alipokutwa na korona?

Je, mtoto wake na yeye alipimwa na nini pia?

Maana maabara yake anasema inatoa majibu ya uongo.

Tuongelee pia kuzuiwa kwa magari ya mizigo kutoka Kenya kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro.

Hao wakenya 19 waliokutwa na maambukizi, walipimiwa wapi? Kwa kutumia "test kits" zipi? Maana maabara yetu inafanyiwa matengenezo kwa sasa na test kits zina shida.

Kama vipimo vina hitilafu hadi kutoa "positives" za uongo, basi pia kuna uwezekano wa kuwepo "negatives" za uongo! Ni sayansi sio siasa! - JamiiForums

Rais tunaweza kufikiria

Mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

haya bwana

Member
Mar 15, 2020
5
45
Wadau,
Sijui tuite triple standards or what.Hii hii maabara iliyoshambuliwa kutoa majibu yasiyoaminika ndo iliaminika na mkuu kumpima mwanae?tena wa kumzaa kabisaaa?

Siombei tuwe na idadi kubwa ya wagonjwa wa corona,ila najiuliza kupungua kwa idadi ni kwa mujibu wa maabara hii hii? Hao wagonjwa wanaozidi kupona ni kwa mujibu wa maabara hii hii?

Anyway huenda naibu waziri Mollel kaja na bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,755
2,000
Mtukufu wetu jiwe, mkemia mkuu wa nchi, daktari mkuu, igp wetu, mchumi mkuu wa nchi, yeye mwenyewe alikuja na vipimo vyake, yeye ni physician mkuu wa nchi unadhani alishindwa kutengeneza kipimo chake mwenyewe?
 
Top Bottom