Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Safari hii wamepima sampuli za nini.?mtatujuza siye wengine tupo tunachapa kazi kuelekea uchumi wa kati.
 
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.

Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.

Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.

Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.

JF will cover it LIVE
Mbona anapenda sana kukimbilia kanisani...
 
Back
Top Bottom