Rais Magufuli: Hakuna chakula cha Serikali, fanyeni kazi huo ndio ukweli

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156
" hakuna chakula cha Serikali. Kama huli chakula ufe tu. Fanyeni kazi, huo Ndio ukweli." - Rais John Pombe Magufuli Leo tarehe 2/3/2017 saa 7:53 Nangurukuru, Lindi (source: Zitto Kabwe fb)
Habari leo pia wameripoti habari hii "Amesema, hawezi kuwaeleza maneno mazuri kwamba hakuna atakayekufa kwa njaa wakati huo si ukweli, na kwamba, anachokisema yeye ndiyo ukweli na utabaki kuwa hivyo".

 
" hakuna chakula cha Serikali. Kama huli chakula ufe tu. Fanyeni kazi, huo Ndio ukweli." - Rais John Pombe Magufuli Leo tarehe 2/3/2017 saa 7:53 Nangurukuru, Lindi By Zitto.

Angalizo: hizi ziara za Lindi zinaweza kupoteza mwelekeo wa Swala la Daud Bashite.

Jamani Rais wetu ndo anatoa mdomo mwake haya maneno?
Mungu tuvushe salama kuelekea 2020.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu nibariki na mimi ili 2020 niwe rais bora.
Mwafaaa
Usirudie kosa 2020
 
Back
Top Bottom