Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Rais Magufuli kila afanyapo uteuzi wale wote aliowateu lazima waape.Kiapo ni mkataba baana ya anayeapa na aliowaapia pamoja na mungu.
Mtakumbuka kwenye kampeni Rais alisema hivi,"Haki ya Mungu naomba mniamini sintowaangusha. Nikiingia madarakani mahakama ya Mafisadi itaanzishwa.
Kiapo hicho kilikuwa baina ya Rais,Wananchi na Mungu.Leo nimeanza kuingiwa na mashaka kama kiapo hicho kitatimizwa ukizingatia waliostahili kupelekwa kwenye mahakama hinzo wamepewa nyadhifa tayari.
We mdau unasema je kiapo kitatimizwa?
Je,Kwa siku hizi alizoingia ikulu amekuangusha au la?