Hizo taratibu zinafuatwa ikiwa CAG anafukuzwa kazi. Full stop. Yaani kama anaachishwa kazi kabla kumaliza kipindi chochote cha miaka 5. Iwe ni kipindi cha kwanza au cha pili n.kNi kweli lkn umesahau la sivyo unajitia upofu wa makusudi. Katiba imeweka utaratibu maalamu, endapo kwa namna zilivyoainishwa "zingatia" kikatiba kama Rais aataona kuna sababu ya kutoendelea baada ya hiyo miaka Mitano Naye hajafika umri wa kustaafu! Upo utaratibu wa kumwondoa toka nafasi hiyo.