Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.

Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa

Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi

Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi

Lakini mbona Rais yuko kimya, hata kutuma kijitwiti cha kusikitishwa na kifo chake?

Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Muuaji
 
Ni hatari sana kumpa mtu maskini na asiye na exposure yeyote mamlaka makubwa! Wananchi wao huteseka sana!
 
Huyu Howe wa ajabu sana inatakiwa yeye atoe public speech ilikuwa uwanja free kwa wengine haswa hawa VIP wakitoa kabla yake watamfunika
 
Back
Top Bottom