Umenisaidia maana nilifikiri wewe ni Masele mwenyewe unajipigia debe
Umenisaidia maana nilifikiri wewe ni Masele mwenyewe unajipigia debe
I hope plan inaendelea lami kutoka Bariadi via Mkula,Nyamikoma,MASEWA,DUTWAA (kuna majabali mazuri sana) ..Kuna landscape nzuri sana Mwakibuga ,IGEGUHilo pori nalifahamu vizuri sana.
Actually nyumba yetu ipo pembeni mwa barabara iendayo huko na kuna kipindi walitaka kuibomoa ili wapate nafasi zaidi ya kujenga barabara ya lami kuelekea huko. Ila mpaka sasa sijasikia chochote kuhusiana na hilo.

mwekezaji serious anaangalia pesa tu atakayopata hayo menginebe hayamhusu bdio maana unaona makampuni ya simu,migodi kibao ya wawekezaji toka nje na tenda kibao za ujenzi iwe mabarabara ,reli nk wao ndio wanafanyaHawawezi kuja kwenye nchi ambayo katiba inavunjwa na rais mwenyewe kwa maslahi & chuki yake binafsi
Yeah, Lamadi inaenda kuwa ‘center’ flani hivi.I hope plan inaendelea lami kutoka Bariadi via Mkula,Nyamikoma,MASEWA,DUTWAA (kuna majabali mazuri sana) ..Kuna landscape nzuri sana Mwakibuga ,IGEGU
Ila LAMADI inakuwa kwa kasi sana Poti
Sawa Mkuu vizuri umeirusha hapa WANAPITAMkuu ombeni interventions ya Magufuli
Kenya wakituibia tutalia kama watoto
Ficha ujinga wako.mwekezaji serious anaangalia pesa tu atakayopata hayo menginebe hayamhusu bdio maana unaona makampuni ya simu,migodi kibao ya wawekezaji toka nje na tenda kibao za ujenzi iwe mabarabara ,reli nk wao ndio wanafanya
Wao hawali katiba Kwao cash is a king usidhani Kika mwekezaji anahangaika na katiba
Na Nchi nyingine katiba hawana kabisa mfano uingereza haina katiba ya nchi kabisa ukiongelea katiba ya nchi mwingereza anakuona bwege tu
Hata Israel haina katiba ya nchi hawajui hata Ni kitu gani
China yenyewe walishaapa siku nyingi just wao popote waendapo kuwekeza hawahangaiki na mambo ya ndani ya nchi wao Ni kuwekeza na kufanya biashara tu ndio maana Sasa hivi tishio kea dunia
Nchi nyingi zimeanza kufunga virago kuhangaikia na mambo ya ndani ya nchi zingine wanahangaika na uchumi na biashara tu ndio maana hata funding kea vi NGO nyingi zimepungua na NGO nyingi zinakufa kwa kukosa funds sababu diplomasia ya kimataifa imehamia kwenye msisitizo wa diplomasia ya uchumi na biashara tu hizo porojo za sijui katiba Nini zisizo za kibiashara na kiuchumi hawana muda nazo
Hivi barbarosa ushaolewa au bado?Tuanze kuongelea kwanza Dola US laki 1, kisha milioni 1, kisha milioni 10 kisha milioni 100 halafu milioni 200, 300, ... bilioni 1 USD, bilioni 2, 3, 4, 5,6, 7,8 , 9 , 10.
Sidhani kama wengi wetu hata kama tunaelewa maana hata ya dola laki moja, I mean bilioni 10 USD?
Wawekezaji huwa hawavutwi hata uwe na mvuto vipi wao huangalia tu Kama Waweza pata faida Hapo ndio maana hata sehemu zisizo na amani zenye vita kutwa Kama Kongo Kuna wawekezaji kibao migodini migodi ya madini hawajali ukosefu wa amani uliopoFicha ujinga wako.
Mahali ambapo hujui mtawala ataamkaje na kuvunja mkata au hata kubadili sheria kiholela huwexi kuwekeza kwa amani, mmefeli sana hata mzee wa Msoga kawapiga bao ktk kuvutia wawekezaji
Mwekezaji serious Hana kelele za kutaka kuonana na Raisi huenda ubalozini kwake au ubalozi wa Tanzania kupata taatifa za uwekezaji na procedure Kisha straight huenda kuanza procedureWako bize na namna ya kumzuia lissu .
Wakijashtuka dili kama hizo zinayeyuka hivi hivi .
Hapo watanzania wangepata ajira,wangepata Kodi ,wangepata watalii na movie makers wengekuja hapo
Ila wako bize na chadema
Hebu mtuelishe wengine ambao hatjajua hiyo kampuni inafanya Nini?Disneyland au Walt Disney Company?
Disneyland ni entertainment resort ambayo ipo Anaheim, California, sawa na Disney World iliyopo Florida.
Ni kampuni tanzu za Walt Disney Company....
Ulisimama wewe usiyefanya kazi. Kutwa kucha umo JF
Hivi barbarosa ushaolewa au bado?
Hawawezi kuja kwenye nchi ambayo katiba inavunjwa na rais mwenyewe kwa maslahi & chuki yake binafsi
Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana.
Labda ilikuwa uzushi ..
Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge..
Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli Masele alianza mchakato already basi Magufuli amuite Masele abebe hili wazo likamilike kabla Wakenya hawajaliiba tukabaki tunalia kama mayatima..
Disneyland wakija hatutazungumza tena watalii Milioni moja
Tutakuwa tunazungumzia watalii kuanzia milioni 10 na kuendelea..
Barabara ngapi zitajengwa?
Madaraja mangapi?
Sgr? ...
Nchi haitahitaji tena wafadhili kwenye Bajeti...ni game changer
Hata Dubai walijaribu kuwavuta Disneyland hawajafanikiwa..Sisi tukifanikiwa ni mwisho WA umasikini tukipata Viongozi wazalendo...
Masele kama kweli ana wazo hili asiachwe wazo lake likapotea..
Duh...!.dah!
Jiniasi wa ccm , Yesu wa Tanzania ashauriwe na masele hebu acha utani , inategemea ameamkaje.Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana.
Labda ilikuwa uzushi ..
Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge..
Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli Masele alianza mchakato already basi Magufuli amuite Masele abebe hili wazo likamilike kabla Wakenya hawajaliiba tukabaki tunalia kama mayatima..
Disneyland wakija hatutazungumza tena watalii Milioni moja
Tutakuwa tunazungumzia watalii kuanzia milioni 10 na kuendelea..
Barabara ngapi zitajengwa?
Madaraja mangapi?
Sgr? ...
Nchi haitahitaji tena wafadhili kwenye Bajeti...ni game changer
Hata Dubai walijaribu kuwavuta Disneyland hawajafanikiwa..Sisi tukifanikiwa ni mwisho WA umasikini tukipata Viongozi wazalendo...
Masele kama kweli ana wazo hili asiachwe wazo lake likapotea..
Wawekezaji huwa hawavutwi hata uwe na mvuto vipi wao huangalia tu Kama Waweza pata faida Hapo ndio maana hata sehemu zisizo na amani zenye vita kutwa Kama Kongo Kuna wawekezaji kibao migodini migodi ya madini hawajali ukosefu wa amani uliopo