Rais Magufuli: Chato kuwa na taa barabarani ni dalili tosha uchumi wa Tanzania upo vizuri

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,322
Akiwa kanisani amesisitiza kwamba uchumi upo vizuri ndio maana taa za barabarani hadi chato.

Huyu bwana huwa naona kama mtu mmoja ambaye ana abudu sana vitu, ndio maana huwambii kitu kuhusu mandege, barabara etc.

Wachumi eti kuweka taa za barabarani kuna uhusiano gani na kukua kwa uchumi au ulimi ulitereza.

Mbona sinawahi ona akitoa jasho kuzungumzia fund za research labda vyuo?

Mungu ibariki Tanzania, tutanunua ndege kwa pesa yetu hadi zifike 500 hata zikipaki sawa tuu shida ipo wapi.

2311142015470196658_97319153_309416193387912_7038908954846422485_n.jpeg
IMG_20200517_191301.jpeg
 
Kuabudu vitu ndio ujanja wenyewe kwenye uchumi,hela nyingi zipo ndani ya miundombinu, Yaani unataka hela za kula bata wakati hata barabara ya kusafirisha mazao huna?
 
Back
Top Bottom