ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,851
Wana JF,
Nilisikiliza report ya mchanga wa madini zaidi ya mara mbili. pia nimemusikiliza lissu zaidi ya mara mbili. Ukweli ni kwamba swala la mchanga siyo la kisheria na mikataba tulioingia na migodi mbalimbali hapa inchini kwetu. Swala la michanga nilakiutekelezaji wa mikataba tulioingia na wawekezaji katika sekta ya madini.
katika mikataba ya madini inajulikana kuwa tunapaswa kuchukua
1) Mrahaba (royalty) katika uchukuaji wa mrahaba ni asilimia 4% ya uzalishaji wa dhahabu yote.
2) Pia corparate taxe ambayo ni 30% ya faida yao.
Kutokana na hayo sheria inaruhusu Maafisa madini na mtu yeyote aliyeteuliwa na serikali kwenda kuhakiki uzalishaji wao ili tupate haki zetu. Kwa maana hiyo Kamati ya Rais Magufuli ilikuwa inachunguza uzalishaji na mali zilizokuwa zinachimbwa na kusafilishwa na ACACIA. Na katika report ya mchanga wa madini hakuna sehemu ilioonyesha wizi huo ni wakimukataba au wa kisheria na pia kufanya uchunguzi huo siyo kinyume cha mkataba na katika upotevu wote ulioonekana kutokana na report inaonyesha ni uzembe wa serikali yetu kusimamia mali zetu wenyewe.
Kutokana na haya rais wetu anapaswa kuwachukua ACACIA na kufanya nao uchunguzi wa wazi ili wote kwa pamoja wajilizishe na kama itaonekana ni kweli wametuibia kwa pamoja ni sisi watanzania tutawadai watulipe walichotuibia na kama watagoma tutawapeleka huko kwenye mahaka tukawashitake kwa kutuibia na katika uozo wote huu haujahusiana na ubovu wa mikataba bali uzembe wa serikaliiiiiiii yetuuuuuuuuu.