Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

Status
Not open for further replies.
Huyu naye sijui katokea wapi? Lissu apelekwe mahakama ya kijeshi kwani Lissu ni mwanajeshi?
 
Kosa la Lissu:
Tundu Lissu anachonganisha TPDF na wananchi. Anachafua taswira ya jeshi letu.

Jana nilikuwa ninaangalia clip moja ya YouTube ikimuonesha mwanasiasa mmoja wanamuita Tundu Lissu akiwa anazungumza na vyonbo vya habari baada ya kutoka detention pale Central police station. How comes mwanasiasa wa ngazi za juu kama Lissu anadiriki kulishutumu jeshi la wananchi (TPDF), idara ya usalama wa taifa/majasusi pamoja na jeshi tukufu la police eti wameunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kufanya torture. Kweli kabisa? Really?

Senior opposition leader kama Lissu dares to smear the very patriots ready to forsake their blood kwa yeye na familia yake kuwa salama. Lissu anajua gharama inayolipwa na vijana wetu usiku na mchana, ndani hata nje ya nchi kwa chi kuendelea kustawi?

Stage aliyofikia Lissu ya kuchonganisha wananchi na vyombo vya usalama can no longer be tolerated or handle by civilian judicial system. Lissu must be court Marshaled, no other option. Tanzania haipaswi kuruhusu wanasiasa wachochezi kama Lissu to cross the redline kiasi kile na kuchafua vyombo vya usalama na wananchi wake.

Wanasiasa wachonganishi kama Lissu ni lazima wadhibitiwe kwa nguvu zote za dolla.
Mzee umenunua simu karibuni nini? Haya subiri watamshughulikia. Watu wengine hamjielewi kabisa.
Kazi ya hao waliotajwa ni kuja na hoja za kupinga hilo. Kwa taarifa yako hawajawahi kubisha.

Halafu nikusahihishe. Hakuna jeshi tukufu, uwe unauliza. Unaujua utukufu wewe??????
 
Tukufu na takatifu. Jifunze kutofautisha
 
Kwanini akurupuke kuongelea mambo asiyo na ushahidi nayo?
Wewe ushahidi wako ni upi?
Una ushahidi kuwa sio kweli? Ongea hapa.
Acha porojo. Waliotajwa wakajisafishe beyond reasonable doubt. Hivi nyie mnadhani haya mambo ni ya mzaha mzaha tu??? Pole zenu
 
Aiissee ww ongea yote ila kuhusu lissu Hyo muacheni tu jamaa anaongea vitu bila kusita hii Ndo maana ya kuitwa kiongoz
 
Kosa la Lissu:
Tundu Lissu anachonganisha TPDF na wananchi. Anachafua taswira ya jeshi letu.

Jana nilikuwa ninaangalia clip moja ya YouTube ikimuonesha mwanasiasa mmoja wanamuita Tundu Lissu akiwa anazungumza na vyonbo vya habari baada ya kutoka detention pale Central police station. How comes mwanasiasa wa ngazi za juu kama Lissu anadiriki kulishutumu jeshi la wananchi (TPDF), idara ya usalama wa taifa/majasusi pamoja na jeshi tukufu la police eti wameunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kufanya torture. Kweli kabisa? Really?

Senior opposition leader kama Lissu dares to smear the very patriots ready to forsake their blood kwa yeye na familia yake kuwa salama. Lissu anajua gharama inayolipwa na vijana wetu usiku na mchana, ndani hata nje ya nchi kwa chi kuendelea kustawi?

Stage aliyofikia Lissu ya kuchonganisha wananchi na vyombo vya usalama can no longer be tolerated or handle by civilian judicial system. Lissu must be court Marshaled, no other option. Tanzania haipaswi kuruhusu wanasiasa wachochezi kama Lissu to cross the redline kiasi kile na kuchafua vyombo vya usalama na wananchi wake.

Wanasiasa wachonganishi kama Lissu ni lazima wadhibitiwe kwa nguvu zote za dolla.
 
Soldier weka Jina lako kamili hapa nikupe ukoplo kwa kuthubutu kukiuka amri inayokukataza kulisemea jeshi.
 
Basi, kama vipi apewe ile kitu watu wanaogopa sana na vyombo husika.

..taifa linamhitaji Tundu Lissu.

..huyu ndiye mtetezi wa wanyonge wa nchi hii.

..tunatakiwa tuwe na Tundu Lissu wengi zaidi
Tanzania.

..wanaomchukia ni wale walioshindwa kupambana naye hoja-kwa-hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom