Rais Magufuli: Kawafundishe Mabalozi wenzako, Wajifunze namna ya kuishi na nchi ya Tanzania ambayo hababaishwi

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weledi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.


 
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni Nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weredi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
Ana haki ya kusema hivyo coz hata uchumi udorore vipi mshahara na posho yake viko palepale
 
Nashauri Mh. ajikite na utekelezaji wa ilani na ahadi zake hao jamaa aachane nao hata kama yeye binafsi hana mpango wa kwenda nchi yoyote huko Ulaya.

Hawa watu wakiamua kukufanyizia wana mbinu nyingi na michezo mingi, sio wa kuchokonoachokonoa! Kuwa na urafiki na China kusitufanye tukaamini China wanaweza kutusaidia kupambana nao wakiamua kukinukisha, mchina mwenyewe anawagwaya!
 
Kama hamyumbishwi wakataeni wabunge 19 mlowateua toka chadema muone mtakavyoyumbishwa
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni Nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weredi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
 
Hii sera ya kuwakoromea mabeberu na yenyewe imo ndani ya ilani?
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Huu ubabe hauna maana
Ubabe wa kikolomije kichato chato huku wakiwa busy kuwaomba omba misaada wakiwaita wahisani wafadhili lakini wakikataa ujinga wao huwageuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Tukihakikisha tu Watoto wetu wote shuleni wana madawati na wanapata elimu bora, Wananchi wote wanapata maji safi na salama na ya kutosha, wajenge vyoo bora na kuvitumia, Huduma bora za afya Wagonjwa wapate dawa n.k wala hatutohitaji hayo ya kujipiga kifua na kusema hivyo...hao hao Wazungu huwa wanasema "actions speak louder than words"
 
Ila ana Ujasiri Sana huyu Mzee, yaani unazindua shule iliyojengwa kwa almost 10+ Billions za Wahisani then hapo hapo unawapiga Mkwara.

Kwamba wasiwashwe washwe na yanayoendelea Tanzania🙌

Another Mugabe in the making 🙌
 
hapa kazi tu
Kazi ipi? Maana miradi yote mikubwa ina 10% za wajanja wachache huko CCM, au hapa kazi tu watu wa TRA kufunga biashara kufanya account kuwabambikia kodi kubwa baadhi ya wafanyabiashara ili wapate kuharalisha kuwapora mali zao
 
  • Masikitiko
Reactions: Lee
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom