Rais Magufuli: Baba wa Miundombinu ya usafirishaji Tanzania.

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Nimekubali kimsingi kabisaa na kuanzia leo nitamwita hivyo mheshimiwa rais wetu John Pombe Magufuli kuwa:-

BABA WA MIUNDOMBINU USAFIRISHAJI TANZANIA.

1. Ujenzi wa reli mpya ya kisasaa.
2. Ukarabati wa reli ya kati na Ile ya tanga.
3. Ufufuaji wa shirika la ndege Tanzania.
4. Ujenzi mpya na ukarabati wa barabara zetu.
5. Ujenzi wa Miundombinu mipya ya umeme.

Mungu amlinde na ampe afya rais wetu.
 
Back
Top Bottom