Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

yote maoni, hata diamond kuna watu wansema sio msanii ni mfanya biashara! kwan unadhan its something new? there is no way unasema tundu lissu is good while hajawahi kua president something you can compare with! lakini kitendo cha kumkaribisha lowasa 2015 that proves he is not only a stupid leader but a big TRAITOR
Sasa Lowasa ameingiaje hapo, kila mtu mwenye average intelligence anaweza kuwa president wa Tanzania.

Naweza kusema kuwa upresident wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete ulikuwa mgumu kidogo kwa sababu waliruhusu demokrasia, lakini kwenye utawala huu wa kichifu kuna ugumu gani.
 
Magufuli alishapata kura yangu sihitaji kusikia kampeni, namuomba Mungu anipe uhai na uzima octoba nampa zawadi yangu ya kura
 
Na sasa hivi ndio wanatakiwa wamzonge kabisa, lakini wanamwacha tu yeye pekee ndiye asikike. Na anaipenda sana hali hiyo, ndiyo maana kaanza mapema kutoa vitisho.
Kwa hiyo unasemaje Ndugu? Magu atapata more than 90 percent ya kura..
 
UKAWA ilitisha my frnd, siyo hii ya sasa. Weka mbali na watoto. CUF, CHADEMA, NCCR-M CHAUMA, NLD. Walitisha.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom