Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel

Safi sana,kumbe kwa kuweka vocha kwenye simu tu tunaweza kuongea nao na kupata misaada badala ya kuondoka na ndege na misafara ya wapambe kibao ! welldone president wangu,tutafika tu na iko siku watakuelewa...
Kufika sawa, lakini tunaelekea na tutafika wapi?
 
Basi kuanzia sasa kila anayempigia simu Rais tuwe tunapewa Taarifa, kazi kwelikweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kampgia simu jana kummweleza kuwa wapo pamoja,

======

Mhe. Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel. Wazungumzia kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wa Tanzania na Ujerumani hususani katika uchumi.
View attachment 1050530
Save this thread, aibu ya kufunga mwaka na mambo ya kufedhehesha huwa hayakawii kuikumba Ikulu ya Magufuli - muda si muda tutafahamu kama kweli Merkel alipiga hiyo simu!
 
Kampgia simu jana kummweleza kuwa wapo pamoja,

======

Mhe. Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel. Wazungumzia kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wa Tanzania na Ujerumani hususani katika uchumi.
View attachment 1050530
Hii imekuwa too much.kwani Kila kitu lazima kitolewe press release?
 
IMG-20190129-WA0003.jpeg
 
Kama umewahi kuona vipost vya huyo mtoa taarifa huko insta huwezihoji kwanini anafanya haya.
 
..tatizo ni kwamba mmemchukua MIAKA MINNE tangu achaguliwe kuongea na viongozi wakubwa wa magharibi.

..hiyo inaonyesha kwamba tumekuwa WEPESI kupita kiasi ktk medani ya diplomasia na mashirikiano ya kimataifa.

..Tukubaliane kwamba tulikosea. Huyu hakupaswa kukalia kiti alichokaa Mwalimu Nyerere.

Cc Mag3, Nguruvi3, Pascal Mayalla
Mkuu Joka Kuu, kitendo cha kiongozi wetu kuongea na simu na kiongozi wa super powers, kimeandikiwa press release, then this is a sign of desperation, hivyo sisi waona mbali tumeanza kujiridhisha huku kutosafiri nje ya nchi has something more than meet the eye, whatever sababu zozote zinazotolewa ni lame excuses, kuna problem mahali lakini hatuambiwi, but at least this year atasafiri safari 3. China, Germany na UN GA

Kwenye fani ya uandishi, tumefunzwa, unapokutana na a situation where there is nothing you can do about it, or to change it, the best thing to do is
1st-"appreciating the situation"
2nd- ", make the best of the situation"

Hivyo hoja za hakustahi kukalia kiti ni by passed by events, aliyekalia kiti ni yeye, hivyo kwanza tumkubali kuwa ndiye yeye up to 2025, kisha lets make the best of him by all means including affirmative actions such as
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!. - JamiiForums
P
Unaposema ni yeye mpaka 2025 wewe ndie unayepiga kura za watanzania wote. Au unatuthibitishia kuwa rais wa Tanzania hachaguliwi kwa sanduku la kura bali anawekwa na tume ya uchaguzi tumeccm policcm uwtccm, sisi kura zetu hazina maana.
 
Mkuu Chief Kabikula, tuna watu wa aina 3, the wishful thinkers, the ordinary people and the realists.

The wishful thinkers ni wale kazi yao ni ku wish, tunawish kuingia Ikulu hivyo tutajiandikisha kupiga kura, tutapiga kura kumuingiza mtu wetu Ikulu, akikosa, tutasubiri miaka mitano mingine na kujaribu tena.

The ordinary people ni watu wakawaida ambao hawajali nani yuko ikulu, hawajiandikishi kupiga kura na wakijiandikisha, ni kupata kitambulisho, lakini hawapigi kura. Kwao yoyote awe Ikulu, it doesn't matter to them.

The realists ni kundi la wakweli, hawa wanajua kabisa kuwa japo Katiba inasema uchaguzi ni huru na wa haki, the overall winner kote bara na visiwani lazima awe ni CCM. Na rais akiisha chaguliwa lazima akae miaka 10, hivyo rais Magufuli ni mpaka 2025, uchaguzi wa rais 2020 ni igizo tuu la uchaguzi, raisi ni Magufuli.

Hata Watanzania wote wapige kura kumchagua yoyote, mshindi sio lazima aliyepigiwa kura nyingi bali aliyehesabiwa kura nyingi, hivyo mshindi hupatikana kwa tangazo la hesabu ya kura not necessary the casted votes but the counting.

Sasa kama kura zenu zina maana au hazina, hilo jaza mwenyewe, mimi as a realist, nimekueleza reality, kuwa rais ni Magufuli na mshindi wa jumla ni CCM, milele!.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom