Rais Magufuli azishangaa pongezi za Mbunge Lusinde, amkumbusha Ikulu siyo bungeni alikozoea

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,889
141,823
Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM leo ameongoza kikao cha halmashauri kuu ya CCM ikulu jijini Dsm.

Mh Lusinde aka kibajaji alipopata wasaa wa kuzungumza aliwataka wanec wote watoe tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa namna anavyotekeleza kwa usahihi ilani ya CCM. Wajumbe wakianza kusimama Rais Magufuli akamkumbusha kibajaji kuwa pale ni Ikulu siyo bungeni wanakopongezana.
Akawasisitizia wajumbe waendelee na kikao kwani kuna mambo mengi ya msingi na muhimu ya kujadili.

Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
 
Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM leo ameongoza kikao cha halmashauri kuu ya CCM ikulu jijini Dsm.

Mh Lusinde aka kibajaji alipopata wasaa wa kuzungumza aliwataka wanec wote watoe tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa namna anavyotekeleza kwa usahihi ilani ya CCM. Wajumbe wakianza kusimama Rais Magufuli akamkumbusha kibajaji kuwa pale ni Ikulu siyo bungeni wanakopongezana.

Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Aha ha ha...
 
Ndege hupandi lakini hata kwa macho tu huzioni!
 
Back
Top Bottom