Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

Jamaa anakazi kila kiki inabuma. Cheki hii habari ilivyopotezewa. Na wengi wanaocomment sio juu ya habari wanacomment failure zake.
 
Hongera kwake Rais Magufuli. Mungu akitujalia tukapata Marais kama Magufuli kwa Miongo mitatu mfulizo Nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Ila tukae tukijua Mataifa ya magharibi hawapendi kabisa Taifa la kinyonge lielekee kujikomboa na kiuchumi na kujitegemea katika nyanja zote.

Tuungane na Rais Magufuli bila kujali makundi yetu mbalimbali tuweke Utanzania mbele.
Hatuongezi mtu miaka hapa, kampeni zako peleka lumumba
 
Dictators wote duniani walitumia sababu ya kuendeleza watu ili kuua watu hao hao...maendeleo yanayokuja at the expense of democracy sio maendeleo sustainable...
Hivi urusi kuna democracy hiyo unayoisema?
 
Jana nilimsikia akisema wanaopambana nao kuhusu madini yetu wanataka kutuchonganisha sisi kwa sisi ili wao waendelee kuneemeka huku akisema shida yetu sio vyama yetu kulumbana bali kupambana na wanaotuibia
Je anataka kutuambia serikali yake haihusiki na shambulio la Tundu Kisu?
Akili kichwani kwako
 
Perfect, anajishitukia! Kuwa Lisu ameumizwa na "tunaopigana" nao kwenye madini lakini wanasingizia serikali ili watuchonganishe!
 
Perfect, anajishitukia! Kuwa Lisu ameumizwa na "tunaopigana" nao kwenye madini lakini wanasingizia serikali ili watuchonganishe!
Nafikiri logically hii ni nzuri tuwaite Scotland Yard au TISS iwaumbue hawa wachonganishi tuwakamate
 
Jamaa sio mwanasiasa kabisa na pindi anapotaka kudefend kitu ndio huwa anaharibu kabisa au kufanya umma ujue ukweli bila yeye kujua. Labda maneno ya Zitto yanaweza kumtafsiri jamaa vizuri japo mimi sio muumini wa Zitto
 
Wazo la Zitto limewahi kumjia bwana mmoja kama njili watu wakashangaa wengine wakasema lisemwalo lipo kama halipo liko njiani linakuja kwa mwendo wa madaha
 
Jana rais magufuri alipokuwa simanjiro alitoa agizo la kushitukiza kuhusu ujenzi wa ngome ( fence) ya kisasa kuzunguka eneo lote la mgodi je ? hizo pesa zinatoka wapi ?? kwenye bajeti gani ? au ndoo increments za watumishi , au ndoo pesa za bajeti ya ajira mpya ? au ndoo pesa za kulipa malimbikizo ya watumishi au ndoo million 50 za kijiji .

Mzee tupatupa wa chato
 
zinatoka kwenye muhimili mrefu

bunge

mahakama

fyateni mkia mhimili umesema faino

anaeongea risasi tuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom