Rais Magufuli azindua barabara ya Kaliua-Kazilambwa, aagiza ujenzi wa barabara nyingine 2 kuanza

Namaanisha Kejeli
hiyo siyo kejeli ni kweli mtupu Watanzania unapenda kukomalia mambo yanayotutia hasara badala ya kutetea au kuungana kutetea kilicho Chenu. Rasilimali zinachotwa hatuungani kutetea sababu?
 
Maamuzi yake yaweza kuwa mazuri kwa upande mmoja... Ila je yanafuata taratibu za nchi? Ukisema baada ya mwezi mmoja mkandarasi awe tayari kaweka vifaa tayari kwa kuanza.... Sera ya manunuzi inasemaje? Tenda za serikali zinapaswa kuwa gazetted 90 days, ndo ateuliwe mkandarasi.... Sasa hii ya mwezi mmoja imefuata utaratibu upi!?

Pili, nijuavyo budget tayari imepita... Je kipande hiki ambacho kinaweza kuhitaji karibu bil 50-60 tshs kilikuwa kwenye budget? Kama hakikuwa kwenye makisio tujiulize pesa zitatoka wapi? Mnaposikia kila Lissu wanakemea mambo km hayo.... Ni kwa vile tu hatuwaelewi, ila lazima taratibu zifuatwe... Km utaratibu wa serikali "unachelewesha maendeleo", badi Rais anayo nafasi ya kuubadili but he can't be the sole actor..... Bila utaratibu, otherwise the country gotta be like "tohu wa bohu"
 
Back
Top Bottom