Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa meli kubwa kuliko zote katika Maziwa Makuu: Ina uwezo wa kubeba abiria 1,200

Vijana tunataka ajira leta MELI mku !!!!!!!!!!!!!!! Maisha yanapokua magumu kwa vijana sasa tutachangamka biashara majini oyeeeeee
 
Kwa miradi kama hii usitegemee pesa ikapatikana mtaani. Huo ni upande mmoja, raha yake ni kuwa uundaji Wa miundombinu kama hii unaandaa mazingira mazuri hapo baadaye na inahitaji moyo Wa ujasiri sana kusimamia miradi mikubwa mikubwa tu kuipunguza ile inayoenda kupeleka moja kwa moja pesa kwa wananchi. Baadaye ndo raia watafaidi siyo Leo labda kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera JPM na Watanzania kwa hatuna hii!! Nimeshangazwa na miezi 4 usanifu na miezi 4 ujenzi Korea! Endapo ni mkandarasa sahihi wana copy na paste na options zetu huhitaji usanifu meli miezi 4!Kwa kampuni bobezi kwa meli ya kawaida sana.Kutengeneza miezi 4!!!!(huenda wanafungua na repair chakavu!!)Whatchout!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera JPM na Watanzania kwa hatuna hii!! Nimeshangazwa na miezi 4 usanifu na miezi 4 ujenzi Korea! Endapo ni mkandarasa sahihi wana copy na paste na options zetu huhitaji usanifu meli miezi 4!Kwa kampuni bobezi kwa meli ya kawaida sana.Kutengeneza miezi 4!!!!(huenda wanafungua na repair chakavu!!)Whatchout!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wasanifu waliobobea au waliopo sokoni muda mrefu wanazo blueprints tayari.
Au wanazo prototype hivyo wanabadili vitu vichache sana kulingana na mahitaji ya mteja au mahali husika.

Tuliopo kwenye mambo ya designs au engineering huwa tuna msemo "There is no need to re-invent the wheel if you can use available designs".
 
Asante sana chief kwa mchango wako wa kiuwelendi.
Ulishachunguza kwa makini sababu kuu ya waethiopia kutoka nje kutafuta maisha?
Again bear in mind that miundo mbinu mizuri ya ethiopia mingi ipo Addis Ababa Tu .

Waethiopia kutoka pamoja na sababu za kiuchumi ni pamoja na tawala zilizopita zilizoendekeza ukabila na ukanda na kusahau jamii zingine.

Kuhusu miundo mbinu... Ndiyo sababu nimesema balancing ni muhimu sana. Maana ukiwa na miundo mbinu bora yet biashara zinakufa. Mzunguko wa fedha hakuna. Kodi ziko juu hazilipiki, unaigeuza nchi kuwa ya "TAX ECONOMY" badala ya kuigeuza kuwa "PRODUCTION ECONOMY" Hata kama utajenga barabara zote kiwango cha lami bado shida itakuwa palepale. As long as it becomes difficult for your people to afford basic needs, ni lazima uangalie upya sera yako ya ujenzi wa miundo mbinu iendane na maendeleo binafsi ya watu.
 
Tenda ilishatangazwa tangu mwaka jana na ujenzi ulikuwa uwe umeanza mwanzoni mwa mwaka huu wa 2018 lakini inaonekana Rais alilipotezea lile Kampuni la Kikorea baada ya kuwepo madai ya kuongezeka kwa gharama za ujenzi hata kabla ya ujenzi kuanza.
Naona Wakorea walijifunza kuwa, huyu jamaa wakimletea ujuaji atawatolea nje, ndo maana walinywea. Unakumbuka hivi karibuni alikuja Kiongozi kutoka South Korea? So ndo hivyo.
Hivi Kiswahili cha meli kujengwa ni sahihi kweli? au tunalazimika kuendana na makosa ya kimsamiati ya boss!!!!!
 
Hivi katika zama hizi na maendeleo ya miundombinu tuliyonayo, hiyo meli itapata wapi hao abiria 1,200? Afadhali wangeongeza uwezo wake wa kubeba mizigo na kupunguza idadi ya abiria.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
MV Victoria ilibeba watu 1000 na MV bukoba 800 kipindi kile cha miaka ya tisini je 2018 watakosekanaje na isitoshe bk to mwanza ni rout iliyo busy San a hata mabasi .MV Victoria,Serengeti,butimba,kipepeo zilibeba watu 4000 kila siku bukoba to mwanza .
 
Ulishawahi fika bukoba? Na je wazungu ni wajinga kiasi hicho kujenga bandari mbili bukoba
Sijawahi kufika huko Bukoba na sidhani kama nitawahi fika maana pamoja na kutofika kwangu sidhani kama nimepungukiwa na kitu
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom