Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

Huku ni kupoteza muda na kuonyesha desperation za kijinga...jiwe la msingi lilishawekwa sasa ...hadi madaraja na mahandani ambayo ni sehemu ya mradi yanahitaji kuwekewa uzinduzi ...tunachekesha sasa

Reli ya tazara ina madaraja na mahandaki mengi kuliko reli ya kati ya sasa ukizingatia imepita kwenye eneo la nyanda za juu lakini hata siku moja hatusomi kuwa kulikuwa na uzinduzi wa mahandaki ...zaidi ya nyerere kuwa anatembelea tu mradi mara kwa mara
Watoto wadogo hawawezi kukuelewa.
One of his Job Description...Hongera kwake kwa kazi nzuri ya Mahandaki.
 
Huku ni kupoteza muda na kuonyesha desperation za kijinga...jiwe la msingi lilishawekwa sasa ...hadi madaraja na mahandani ambayo ni sehemu ya mradi yanahitaji kuwekewa uzinduzi ...tunachekesha sasa

Reli ya tazara ina madaraja na mahandaki mengi kuliko reli ya kati ya sasa ukizingatia imepita kwenye eneo la nyanda za juu lakini hata siku moja hatusomi kuwa kulikuwa na uzinduzi wa mahandaki ...zaidi ya nyerere kuwa anatembelea tu mradi mara kwa mara

Kwenye awamu hii, mambo madogo madogo yanakuzwa yaonekane makuvwa. Upuuzi wa hali ya juu. Wanamdhalilisha Rais.

Ujenzi wa reli ulikwishazinduliwa, tena unaenda kuzindua vitu vidogo vidogo ndani ya mradi huo huo!! Wanatufanya wananchi tuone kuwa Rais ameishiwa kazi za kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua Rais wako alizungumza katika mazingira ya utani tu. Hakumaanisha hivyo
Wewe nae pumba tu, huoni maana ya kugombania wanaume ni kupenda kulalwa, sasa hii inasema hadharani utani gani huo?

Mwanao akikwambia baba au mama unagombania wanaume au wanawake mbele ya familia utasema utani? Lumumba kama hamna akili kabisa basi jilazimisheni kuwa nayo hata kidogo kwa kunyamaza.

Maana kwa comment yako hata zezeta anaonekana ana akili maana japo anavuja mate kakini amekaa kimya
 
Sijui leo ni zamu ya nani...
IMG-20200629-WA0020.jpg
 
Hv hii reli kila siku inatembelewa kuzinduliwa!?
Si wangefanya uzinduzi wa siku1 then mafundi waendelee na kazi zao za ujenzi..
Maana inachosha kila siku mara wanazindua mataruma, mara handaki, mara stesheni..
Hapo bado bongo movie hajaenda kukagua
 
Ingekuwa haya yanafanywa na Mbowe Spika angefuta ubunge wake lakini kwa sasa siyo viongozi wa dini wala viongozi wa kimila, tatizo kubwa hapa ni umasikini wa akili maana tuna kuwa na njaa hata ukidhalilishwa na Rais una shangilia sababu katiba imempa uMUNGU.
Viongozi wa dini walitakiwa walikemee hili kiimani halifai, lakini hutowasikia wanaogopa kutekwa au kufungiwa makanisa watakosa sadaka
 
Nimeona kwenye kutoa salamu wameogea watu mbalimbali,mbunge wa morogoro,waziri halafu akamruka mbunge wa mikumi profesa J ,watu wamezoea hadi polisi waliokaa mbele wametingisha vichwa kwa kutokufurahishwa.

CCM huo ubaguzi ipo siku utawacost
 
Kwenye awamu hii, mambo madogo madogo yanakuzwa yaonekane makuvwa. Upuuzi wa hali ya juu. Wanamdhalilisha Rais.

Ujenzi wa reli ulikwishazinduliwa, tena unaenda kuzindua vitu vidogo vidogo ndani ya mradi huo huo!! Wanatufanya wananchi tuone kuwa Rais ameishiwa kazi za kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Definately hiyo ni kudhalilisha nafasi ya Urais .
Huu mradi wa Reli una historia Ndefu , kabla Jakaya hajaondoka wachina walikuwa wameingia site kujenga reli kwa mkopo nafuu , ujenzi ulianzia Pugu....akazindua Kikwete ...gharama ya mradi full delivered mwanza,kigoma , mpanda ,mchuchuma ...ilikuwa USD 7 bill.

JPM kuingia akawatia ndani waliosaini mradi wa kIKWETE na akawafukuza wakandarasi site ....hii imetuletea matatizo na serikali ya china maana hadi mradi wa bagamoyo aliukataaaa.......akatangaza tenda mpya na Rais wa uturuki alikuja na kuweka ushawishi tenda ikapewa kampuni ya uturuki kwa gharama iliyoonekana ni ndogo lakini ghali ....wachina walitaka ndani ya miaka mitano watukabidhi mradi kamili kwa kuwa walikuwa wanatumia pesa yao tulipane ...hawa waturuki pesa yao hailali nje na hadi sasa muelekeo ni kuwa hawataweza kumaliza ndani ya wakati .....na wachumi washaona kuwa huu mradi bila internvention mwaka 2025 hatutaweza kufika Kigoma , Mwanza , Mchuchuma na Mpanda ....hata Mwanza tu yenyewe ni bahati ......na gharama zitakuwa maradufu ya za mchina ....
sasa tunajiuliza kwa nini mkandarasi mchina aliondolewa site .....tumelitia taifa hasara kubwa sana kwa ujuaji ...just wa kutaka ku discredit juhudi za kikwete ...

Tufike mahali nchi za kiafrika rais mpya akiingia asipende kukataa hata mambo mema aliyoacha mtangulizi wake ....tumepoteza hadi miradi kama Reli , Bagamoyo na LNG kwakua tu ilikuwa ya Kikwete ........leo hii tunaishia kuzindua tunnels ...part and parcel ya mradi wakati leo hii watu wangekua wanasafiri na treni ..yeye JPM angetakiwa tu kupitia mkataba na kuboresha ....

Angalia leo hi tunatumia pesa kujenga umeme mpya wakati kuna bomba la gas linatumika only 10% or less ....lilo redundant ...kwa nini lakiini ?

JPM angepata raha sana hi miradi yote ingeleta ukwasi nchini na pesa ya kodi angefanyia maendeleo zaidi ......kwa kuwa miradi yote hii mikubwa ilikuwa FDI au mikopo nafuu ...... hakuna nchi duniani hutumia pesa za kodi kufanya miradi ya kimkakati ....hakuna . labda nchi za dunia ya kwanza tena sio zote
 
Huwezi kuleta utani ambao ni matusi mbele ya hadhira. Kwa maana halisi, mwanamke anayegombea wanaume ni KAHABA au MALAYA. Jee Jokate anagombea wanaume?

Jee Jokate ni Malaya au Kahaba kulingana na maneno ya Rais?

Tabia hii ya kudhalilisha watu imeshika kasi na utetezi wenu ni kuwa anatania. Je, na yeye tumtanie atakaa kimya?
Idris kanya tu kwenye Koffi Olomide ile kaenda wapi?
 
Una matatizo ya uelewa wa kiswahili au unageuza maneno kwa malengo yako
kabombe
Huyo jamaa ni ushamba tu unaomsumbua

Hivi amewahi kuona kiongozi gani kati ya waliomtangulia, ambaye alikuwa na tabia kama zake?

Personal issues zinabaki kuwa personal issues.

Kuyafanya mambo personal ya mtu, ambayo ni confidential na kuya-disclose katika hadhara ni ushamba na ulimbukeni wa hali ya juu sana!
 
Back
Top Bottom