Rais Magufuli awatumia Clouds Media salamu za Krismas

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,837
fb5d919ede0d4b569d51c0127ac987ad.jpg

Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?

Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?

Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?
 
thats being selfish ...anawaambia watu wasichapishe kaadi za siku kuu maofisini ...na kuwanyima riziki watu wadogo wadogo waliokuwa na vijiduka vya kutengeneza kadi ...ili yeye peke yake ndio awe anagawa kadi ...
na kadi ya radio na tv zingine ziko wapi?? kwani wao hawamsaidiii kutangaza ....TBC??
 
Nani amegharimia hizo kadi. Kama ni yeye binafsi hakuna neno kwani naye ana mapenzi yake na chochombo chochote cha habari lakini kama ni kadi zimechapwa kwa pesa zetu wananchi ndio hapo tunapata shida kwani atakuwa anavuruga dhana yake ya kubana matumizi
 
thats being selfish ...anawaambia watu wasichapishe kaadi za siku kuu maofisini ...na kuwanyima riziki watu wadogo wadogo waliokuwa na vijiduka vya kutengeneza kadi ...ili yeye peke yake ndio awe anagawa kadi ...
na kadi ya radio na tv zingine ziko wapi?? kwani wao hawamsaidiii kutangaza ....TBC??[/QUOTE
Unapofanya makatazo kwa watendaji wako basi ukumbuke pia na matendo. Ila kwa kuwa yeye ni mtukufu na ana akili nying kuliko wote na hakosei sichangii mada hii mpaka jumatatu nataka nile sikukuu kwanza
 
thats being selfish ...anawaambia watu wasichapishe kaadi za siku kuu maofisini ...na kuwanyima riziki watu wadogo wadogo waliokuwa na vijiduka vya kutengeneza kadi ...ili yeye peke yake ndio awe anagawa kadi ...
na kadi ya radio na tv zingine ziko wapi?? kwani wao hawamsaidiii kutangaza ....TBC??
Kumwelewa Mtakatifu inabidi uwe mnafiki kupindukia.
 
Back
Top Bottom