Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?
Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?
Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?
Dah! Sio kwa kujipendekeza kule... Kipo nini nyuma ya pazia kati ya clouds na MagufuliClouds siku zote hufanya kazi ya UHURU na MZALENDO Ndio maana mkuu anaipenda.
Unapofanya makatazo kwa watendaji wako basi ukumbuke pia na matendo. Ila kwa kuwa yeye ni mtukufu na ana akili nying kuliko wote na hakosei sichangii mada hii mpaka jumatatu nataka nile sikukuu kwanzathats being selfish ...anawaambia watu wasichapishe kaadi za siku kuu maofisini ...na kuwanyima riziki watu wadogo wadogo waliokuwa na vijiduka vya kutengeneza kadi ...ili yeye peke yake ndio awe anagawa kadi ...
na kadi ya radio na tv zingine ziko wapi?? kwani wao hawamsaidiii kutangaza ....TBC??[/QUOTE
Si tuliambiwa kwamba hakuna kuchapisha kadi?Media zote zimepewa kadi mbona mnadakia msilolijua kupongeza sio shuruti ni hiari
Kumwelewa Mtakatifu inabidi uwe mnafiki kupindukia.thats being selfish ...anawaambia watu wasichapishe kaadi za siku kuu maofisini ...na kuwanyima riziki watu wadogo wadogo waliokuwa na vijiduka vya kutengeneza kadi ...ili yeye peke yake ndio awe anagawa kadi ...
na kadi ya radio na tv zingine ziko wapi?? kwani wao hawamsaidiii kutangaza ....TBC??
We umejuaje kama vituo vingine hawakutumiwa salamu za krismass?