Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasipomuingilia na mambo yao ya siasa! Atimue wafanyakazi wote! Waanze upya!Hopefully ataweza kuturn around the company
I think restructuring walishaanza ila sijajua to what extent na imefikia wapi mpaka sasa.Wasipomuingilia na mambo yao ya siasa! Atimue wafanyakazi wote! Waanze upya!
Nilidhani,shirika letu lingeendeshwa na watu wa biashara au masokoEndelea kusubiri
bado sana mkuu, utaendelea kusikia hiyo kitu kila wiki. we tulia tuuu picha bado linaendeleaKumbe bado hatujamaliza kuteua
Ndio ilivyopangwa,wote kufutwaWasipomuingilia na mambo yao ya siasa! Atimue wafanyakazi wote! Waanze upya!
Haaa MkubwA Noma SanaMawazo ya kihandisi yame take over mawazo ya kichumi namkumbuka mkwere na degree yake ya pass lakini ya uchumi, kujua tu what is demand kwenye uchumi inaleta faraja
Hivi mtu akiwa Mhandisi awezi kuwa na knowledge ya Biashara,haya mambo ya kusoma vitini yameharibu sana hili taifa.Tuna watanzania kibao wamesoma sijui BCom, BAF etc hawawezi hata kurun biashara za genge, watu wamesoma marketing mpaka PHD lakini hawawezi ku-market kitu chochote hao ndo ulitaka wateuliwe, au ulitaka tu-recycle watu ambao umewazoea, kuwa positiveNilidhani,shirika letu lingeendeshwa na watu wa biashara au masoko
Ukisoma topic ya marketing na demand pia na production juu juu unaweza ongoza nchi vizuri kwa nini wakuru hawapewi kozi fupi za uchumi, why?Haaa MkubwA Noma Sana
Unajua Kiongozi Wa Msoga Ni Born Here Here!