MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Hayo ameyasema na kuandika kupitia akaunti yake ya twitter ambapo wapenzi na wanaCCM watasherekea kesho sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya CCM kwa kushiriki kwenye shughuli za kijamii ikiwemo ujenzi wa madarasa, wodi za wagonjwa, zahanati, vituo vya afya, kufanya usafi na kuwatembelea wagonjwa hospitalini badala ya kufanya mikutano ya hadhara.
Uongozi wa juu wa CCM Taifa umewataka pia viongozi na wanachama wa CCM ngazi za mikoa, wilaya, jimbo, kata na mashina kuwa na mikutano ya ndani itakayotoa fursa kwa uhuru na uwazi kujadili wametoka wapi, wako wapi na wanataka kwenda wapi. Wajadili pia changamoto, matatizo waliyonayo, wakosoe, wakosoane na kutoa mbadala.