Rais Magufuli awataka wananchi wa Mbarali waache majungu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,760
Rais Magufuli amesema muda wa uchaguzi mkuu bado haujafika hivyo amewataka wanaccm waache kupigana majungu bali wamsubiri mbunge aliyepo amalize muda wake kwanza.

Rais Magufuli yuko katika siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mbeya akiwa wilayani Mbarali. Rais Magufuli amesema mbunge wa sasa anachafuliwa sana ikiwemo maadui wake wa kisiasa kufukia silaha shambani ili ionekane ni za huyo mbunge, hivyo amewataka wanaotamani ubunge wa jimbo hilo kuacha michezo michafu.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom