beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Akizungumza Mkoani Kagera Rais John Magufuli amewataka Viongozi ndani ya Serikali katika maeneo mbalimbali kushughulikia mapungufu yaliyopo.
Akizungumza Mkoani Kagera amesema "Kuna Shule moja ya Msingi Ubungo, Dar es Salaam inaitwa Barango bado Wanafunzi wanakaa chini. Madarasa mengine yamebomoka, madawati yamevunjika".
Ameongeza "Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo yupo bado anakusanya Kodi, Mbunge yupo na ni Profesa tena wa Elimu".
Rais Magufuli amesema pindi atakapoenda Dar anataka kukuta madarasa hayo yakiwa yamekamilika na Wanafunzi hawakai chini akisisitiza ataenda kutembelea Shule hiyo.