Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
Waandishi wa habari Kama hawa inatakiwa wakasome.Yaani anasema ni utekelezaji wa ilani ya CCM, wakati mheshimiwa rais ndio kaagiza baada ya viongozi wa mkoa na wilaya kuwa wazembe!
Dude hili linachagua rangi za kuadabisha Si kawaida bwana weye ! nyie tu ndo Mambulula na wagumu wa kuelewa! sababu ya kula sana vihepe vya mafuta ya Transformer!! Paleeee! Masangati chips!! usiombe! sijui mmelogwa na nani??Maendeleo hayana chamaView attachment 1680288
Nimesoma baadhi ya maoni kwenye bandiko lako hili.Say leo nikihitaji kuwekeza kwenye kuzalisha Sukari, kwanini TIC wasini-guarantee kupata hati ya shamba then ntalipa in the period of 10 years;
Kwanini nihitaji heka 100,000 say kuzalisha mafuta ya kula; kwanini TIC wasiwe sehemu ya kuomba waiver ili uzalishaji wa mafuta ya kula ukuanza then nilipie kodi ya ardhi.
Tukifikiria as innovators, kw model ya Reverse Innovation toka kwa Vijay Govindarajan kuna lots of milestone can be achieved in relatively short time.
Haya, kwa mtindo huo, kule 'mtiputipu' na wao watasubiri hadi wa kwao atakapopatikana ili na wao waneemeke? Sijui watampataje kutokana na kura bzao kuwa kiduchu sana!..wasubiri ipo siku atachaguliwa raisi toka kingolwira wataishi kwa raha sana.
Niwie radhi kwa kuwa na makosa na kutoeleweka ilitakiwa isomeeke MEMART (Memorandum and Articles of Association).Nimesoma baadhi ya maoni kwenye bandiko lako hili.
Kuna kitu umekitaja kwenye orodha uliyoweka sikukielewa: ni kitu gani kinaitwa "mermart"?
Kuhusu hayo uliyoyaweka kwenye mistari niliyoi'quote' hapo juu; pamoja na kuwa ni ushauri mzuri unaoweza kutazamwa na kutekelezwa vizuri, lakini labda niulize - msaada kama huo unaopendekeza unatofauti gani kwa mfano na 'incentives' walizopewa walionunua viwanda kwa njia chee kabisa na kuvigeuza viwanda hivyo kuwa ma'godawn'?
Kuna mambo mengi sana zaidi ya hayo uliyotaja hapo juu, ambayo tayari yanafanyika, lakini bado maswala ya wananchi kuwekeza bado kunakuwa ni kwa kusuasua sana.
Kwa hiyo sio ajabu kabisa kwako, pamoja na kupewa 'guarantee na MSD' kuhusu ununuzi wa Bandage zako na surgical tools, bado ukaishia kwenye matatizo bila ya kuangalia vikwazo vingine utakavyokutana navyo.
Kuna kiwanda cha dawa hapo Keko na kule Arusha, hebu tupe mrejesho wake juu ya ufanisi wa viwanda hivyo kama unao. Hawa walipewa upendeleo sana kama unaoupendekeza, pengine itasaidia zaidi tukielewa matatizo mengine yaliyowakabili na kuishia na hali waliyonayo sasa.
I am all for incentives for investors (local and foreign), but we should be wary of emotions in recommending easy solutions that we feel are impendements to investments thriving in Tanzania.
I am fully aware that I have made no concrete recommendations, and even pointing out key stumbling blocks to investors. My only saving grace, however, is the fact of my belief that the issue of investments and their success in Tanzania is more complex than we think. We need to identify them and delineate them more carefully.
Niwie radhi kwa kuwa na makosa na kutoeleweka ilitakiwa isomeeke MEMART (Memorandum and Articles of Association).
Kuna masuala kadhaa umeyagusia, sina jibu la moja kwa moja ila kuna facts tutashirikishana hapa kama mjadala kupitia hizo facts we evaluate on how we can fill all pieces of a puzzle na tuwe na common ground.
MkuuNimesoma baadhi ya maoni kwenye bandiko lako hili.
Kuna kitu umekitaja kwenye orodha uliyoweka sikukielewa: ni kitu gani kinaitwa "mermart"?
Kuhusu hayo uliyoyaweka kwenye mistari niliyoi'quote' hapo juu; pamoja na kuwa ni ushauri mzuri unaoweza kutazamwa na kutekelezwa vizuri, lakini labda niulize - msaada kama huo unaopendekeza unatofauti gani kwa mfano na 'incentives' walizopewa walionunua viwanda kwa njia chee kabisa na kuvigeuza viwanda hivyo kuwa ma'godawn'?
Kuna mambo mengi sana zaidi ya hayo uliyotaja hapo juu, ambayo tayari yanafanyika, lakini bado maswala ya wananchi kuwekeza bado kunakuwa ni kwa kusuasua sana.
Kwa hiyo sio ajabu kabisa kwako, pamoja na kupewa 'guarantee na MSD' kuhusu ununuzi wa Bandage zako na surgical tools, bado ukaishia kwenye matatizo bila ya kuangalia vikwazo vingine utakavyokutana navyo.
Kuna kiwanda cha dawa hapo Keko na kule Arusha, hebu tupe mrejesho wake juu ya ufanisi wa viwanda hivyo kama unao. Hawa walipewa upendeleo sana kama unaoupendekeza, pengine itasaidia zaidi tukielewa matatizo mengine yaliyowakabili na kuishia na hali waliyonayo sasa.
I am all for incentives for investors (local and foreign), but we should be wary of emotions in recommending easy solutions that we feel are impendements to investments thriving in Tanzania.
I am fully aware that I have made no concrete recommendations, and even pointing out key stumbling blocks to investors. My only saving grace, however, is the fact of my belief that the issue of investments and their success in Tanzania is more complex than we think. We need to identify them and delineate them more carefully.
Lakini hawaonyeshi dalili za kusonga mbele, badala yake kiwanda kinazidi kunyong'onyea!Kwa soko la Tanzania hao Keko Pharmaceuticals kama wanazalisha dawa, bila shaka kila wanachozalisha kinanunulika.
Hawafai kabisa.Ubungo Chadema waliiharibu sana!
Ndugu yangu,Lakini hawaonyeshi dalili za kusonga mbele, badala yake kiwanda kinazidi kunyong'onyea!
Kuna mambo mengi tunayafanya kwa kurashishia rashia tukitegemea kuona matokeo makubwa na endelevu.
Ninapoandika "tunafanya" maana yangu ni serikali/viongozi na sisi wananchi kiujumla; pengine hii ndio DNA ambayo bado inatusumbua.
Bila kutaka kukuchosha na mtazamo wangu huu, nitoe mfano tu.
Tanzania kama taifa huru, tunao umri takribani wa miaka 60 hivi. Kila mara tunayo mipango ya maendeleo ya miaka mitano mitano tokea wakati huo. Kama kuna mambo tuliyodhamiria kuyafanya na matokeo yawe ya kuonekana, labda ni wingi wa watoto wanaoingia mashuleni na mengine kadhaa, lakini yote sio mambo makubwa ya kuonyesha mshindo.
Israel, Pakistan, India kutokana na hali hatarishi iliyowakabili kiusalama, mataifa hayo yalidhamiria kufanya jambo kwa dhati, na katika muda maalum. Dhamira zao hizo zilizaa walicholenga kukipata katika muda huo maalum. Hawakupapasapapasa tu na kuishia njiani kwa matokeo hafifu kama tunayoyapata sisi katika kila nyanja.
Nchi kama Israel na Taiwan, walidhamiria kuwa na 'Chemical industries' za uhakika, na waka-'mobilize' kufikia malengo katika eneo hilo. Sisi hapa pamoja na kuwa na mali ghafi za kutosha, na hata wasomi tunaoweza kuwa-'organize' na kuwapa uwezo wa kufanya kazi kama hiyo, mipango ya namna hiyo kwetu ni kama miujiza.
Tunapapasapapasa tu na kwenda zetu. Angalia matokeo ya "Kilimo Kwanza", hata kabla ya kufika popote, tumekwishaondoka na kufanya mengine hata yale ambayo hatukuwahi kuyaweka katika mipango yetu ya muda maalum.
Tunakosa uongozi unaoweza kupanga na kusimamia mipango yetu maalum inayoweza kuleta mageuzi makubwa , endelevu na ya faida kubwa kwa taifa letu.
Pengine nimetoka kwenye mjadala wa uwekezaji, lakini tabia zetu hizi zina uhusiano bila kujali nyanja inayozungumziwa.
Eeenh heeee!JPM kuchagiza kujenga uchumi wa viwanda