Rais Magufuli awasamehe waliosimamishwa TBC kwa Kosa la Kusema Trump kamsifia Rais Magufuli

jbs

Member
Oct 13, 2012
16
18
Wafanyakazi hao waliosimamishwa Machi 14, walirusha taarifa kwenye Televisheni ya TBC ikidai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amesifu utendaji wa Rais Magufuli hasa vita dhidi ya dawa za kulevya ilhali siyo kweli.

Fake News: Watangazaji 9 wa TBC waliotangaza Trump amsifia rais Magufuli, Wasimamishwa kazi

======

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amewasamehe wafanyakazi tisa wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), waliosimamishwa kazi kwa kosa la kutangaza habari ya uongo iliyomhusu. Wafanyakazi hao waliosimamishwa Machi 14, walirusha taarifa kwenye Televisheni ya TBC ikidai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amesifu utendaji wa Rais Magufuli hasa vita dhidi ya dawa za kulevya ilhali siyo kweli.

Taarifa hiyo ambayo ilirushwa Machi 10, inadaiwa ilikuwa imeandikwa kwenye tovuti ya Fox Channel.com. Hata hivyo, baadaye iligundulika tovuti hiyo haikuwa ya Fox na kwamba, taarifa iliyokuwa imeandikwa ni ya uongo.

Kutokana na hali hiyo, Mkurugenzi wa TBC, Dk Ayub Rioba aliwasimamisha kazi wafanyakazi hao waliohusika na uandaaji na utangazaji wa habari hiyo. Hata hivyo, Rais Magufuli ambaye jana alifanya ziara ya kushtukiza ofisi za TBC pamoja na mambo mengine alitoa msamaha kwa wafanyakazi hao. Baada ya kufika alitembelea chumba cha kurushia matangazo na chumba cha habari na kukalia kiti cha watangazaji, huku akiigiza kama mtangazaji wa habari, alitumia fursa hiyo kuzungumza na wafanyakazi.

Akizungumza kwa njia ya simu, Dk Rioba alisema Rais alifika katika ofisi hizo kwa lengo la kuwatembelea na kuzungumza na wafanyakazi, kisha alitoa msamaha huo. Aliwataja waliosamehewa kuwa ni Gabriel Zackaria, Elizabeth Mramba, Prudence Constantine, Dorothy Mmari, Ramadhani Mpenda, Leya Mushi, Alpha Wawa, Chunga Ruza na Judica Losai.

Chanzo: Mwananchi
 
Anaanza kutafuta wapiga kura wa 2020
Kwa nini unadhani anatafuta wapiga kura hapo 2020.

In my sense, the President has did what he did as a father - forgive his/her kids after mistake. These folks deserve forgiveness due to -ve conditions currently facing TBC.

As common Mwananchi, I concur with JPM in any +ve move and i disagree with him in any -ve move...
 
!
!
"You must be God to forgive people like that". Edward Lowassa akizungumzia kusamehewa watu wa Moshi na Ankoli
 
Kwa nini unadhani anatafuta wapiga kura hapo 2020.

In my sense, the President has did what he did as a father - forgive his/her kids after mistake. These folks deserve forgiveness due to -ve conditions currently facing TBC.

As common Mwananchi, I concur with JPM in any +ve move and i disagree with him in any -ve move...
Ni Wangapi Wamepata aina hiyo ya misamaha?

Hauoni kwamba kwa kutoa kwake msamaha atakuwa ameingilia majukumu yasiyo yake?

Au huoni kuwa "management" ya Shirika inaweza kupuuzwa mbele ya Staff wengine?

Busara ilikuwa kuacha mamlaka yao ya nidhamu itimize wajibu wake, zaidi yeye angewaelekeza kwenye kikao cha ndani ili Wao management wachukue hatua.
 
Ni Wangapi Wamepata aina hiyo ya misamaha?

Busara ilikuwa kuacha mamlaka yao ya nidhamu itimize wajibu wake, zaidi yeye angewaelekeza kwenye kikao cha ndani ili Wao management wachukue hatua.

Comrade Ngoda95...nakubaliana na mtazamo wako. Katika uamuzi wa Mh. Rais, naamini alishauriwa/alishauri kuhusu kilichotokea. Naamini TBC Management ilishafanya UAMUZI chanya wa kuwarudisha ila Mh. Rais akachukua "centre stage kuwarejesha" akiwa MKUU WA UTUMISHI WA UMMA.
 
Wafanyakazi hao waliosimamishwa Machi 14, walirusha taarifa kwenye Televisheni ya TBC ikidai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amesifu utendaji wa Rais Magufuli hasa vita dhidi ya dawa za kulevya ilhali siyo kweli.

Fake News: Watangazaji 9 wa TBC waliotangaza Trump amsifia rais Magufuli, Wasimamishwa kazi

======

Wafanyakazi hao waliosimamishwa Machi 14, walirusha taarifa kwenye Televisheni ya TBC ikidai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amesifu utendaji wa Rais Magufuli hasa vita dhidi ya dawa za kulevya ilhali siyo kweli.

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amewasamehe wafanyakazi tisa wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), waliosimamishwa kazi kwa kosa la kutangaza habari ya uongo iliyomhusu. Wafanyakazi hao waliosimamishwa Machi 14, walirusha taarifa kwenye Televisheni ya TBC ikidai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amesifu utendaji wa Rais Magufuli hasa vita dhidi ya dawa za kulevya ilhali siyo kweli.

Taarifa hiyo ambayo ilirushwa Machi 10, inadaiwa ilikuwa imeandikwa kwenye tovuti ya Fox Channel.com. Hata hivyo, baadaye iligundulika tovuti hiyo haikuwa ya Fox na kwamba, taarifa iliyokuwa imeandikwa ni ya uongo.

Kutokana na hali hiyo, Mkurugenzi wa TBC, Dk Ayub Rioba aliwasimamisha kazi wafanyakazi hao waliohusika na uandaaji na utangazaji wa habari hiyo. Hata hivyo, Rais Magufuli ambaye jana alifanya ziara ya kushtukiza ofisi za TBC pamoja na mambo mengine alitoa msamaha kwa wafanyakazi hao. Baada ya kufika alitembelea chumba cha kurushia matangazo na chumba cha habari na kukalia kiti cha watangazaji, huku akiigiza kama mtangazaji wa habari, alitumia fursa hiyo kuzungumza na wafanyakazi.

Akizungumza kwa njia ya simu, Dk Rioba alisema Rais alifika katika ofisi hizo kwa lengo la kuwatembelea na kuzungumza na wafanyakazi, kisha alitoa msamaha huo. Aliwataja waliosamehewa kuwa ni Gabriel Zackaria, Elizabeth Mramba, Prudence Constantine, Dorothy Mmari, Ramadhani Mpenda, Leya Mushi, Alpha Wawa, Chunga Ruza na Judica Losai.

Chanzo: Mwananchi
Anawasamehe kwani yeye ndio aloyewasimamisha? Huyu dereva wa Lori balaa tupu
 
Kwa nini unadhani anatafuta wapiga kura hapo 2020.

In my sense, the President has did what he did as a father - forgive his/her kids after mistake. These folks deserve forgiveness due to -ve conditions currently facing TBC.

As common Mwananchi, I concur with JPM in any +ve move and i disagree with him in any -ve move...

Hiyo "common mwananchi" nafikiri mmelishwa, yaani juma ponda maharage anaungwa mkono na common mwananchi, I suspect ur not common mwananchi but rather the very beneficiary of jpm administration and if you think I'm wrong then just provide one -ve move u once disapproved
 
Back
Top Bottom