TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha, Steven Urassa amewalima barua Madiwani wawili wa chama hicho Wilayani humo baada ya kujitokeza hadharani na kusifia maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya tano.
Madiwani hao Elishadai Ngowi wa Kata ya Kimandolu na Obedi Meng'orita wa Kata ya Terati walijitokeza hadharani katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya arusha wakati wa ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa miradi mbalimbali Wilayani humo.
Madiwani hao wamesisitiza siyo unafiki kusifia maendeleo yaliyofanywa na Serikali