Rais Magufuli awaomba mabalozi wa EU na Marekani kuwaondolea Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi ili nchi hiyo isonge mbele kiuchumi

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
11,225
2,000
Magufuli optimistic of Zim economic revival

Raisi Dr Magufuli akipokewa na mwenyeji wake raisi Emmerson Mnangagwa alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robert Mugabe mjini Harare jana jioni.

Raisi Dr John Magufuli amesisitiza kwamba Zimbabwe ipo kwenye njia sahihi ya kuufufua uchumi wa nchi hiyo na kuuboresha kupitia njia sahihi na mipango madhubiti ya serikali ya raisi Emmerson Mnangagwa.

Akizungumza kwenye tafrija maalum iloandaliwa kwa ajili yake kwenye Ikulu ya Harare, raisi Magufuli amesema tangu raisi Mnangagwa kuingia madarakani uchumi wa Zimbawe umeanza kuimarika na akaziomba nchi za magharibi kuondoa vikwazo vya kiuchumi ili kuinusuru nchi hiyo.

Raisi DR Magufuli alisema " mheshimiwa Mnangagwa niruhusu nitumie nafasi hii kukupongeza kwa jitihada ulozichukua za kuuborsha uchumi na kupelekwa maendeleo kwenye jamii na kuibadili Zimbabwe kiuchumi.

"Tangu uingine madarakani kuwa raisi Zimbabwe imepiga hatua kubwa kiuchumi, uwekezaji umeongozeka na uhaba kwenye bajeti umepungua.

Akifafanua zaidi na kuonyesha anafahamu anachokiongelea raisi Magufuli alisema, " nimesoma taarifa yako ya kiuchumi na nimeona ukuaji wa asilimia 3.5 kwa mwaka jana jambo ambalo halikutarajiwa na mwaka huu uchumi uanatarajiwa kukua kwa asilimia 4.2 na mwakani unatarajiwa kukua kwa aslimia 4.4

Raisi aliendelea kusema, " bila shaka huwezi kupima ukuaji huo kwa kuushika na akatika kipindi chochote cha mpito watu hawawezi kuona mabadiliko yoyote.

Mwishoni raisi Magufuli akasema " na bila shaka wapo wale ambao hawaamini jitihada hizo zinazofanywa lakini ujumbe utkuwa umetumwa na umefika au message has been sent and delivered"

Raisi Magufuli pia alitumia nafasi hiyo kuziomba nchi za Marekani na jumuiya ya Ulaya kuiondolea vikwazo vya kiuchumi Zimbabwe kwani ni wananchi wa kawaida ndo wapatao shida.

Alisema Zimbabwe sasa imegunfuka kwa jumuiya ya kimataifa na akawaomba mabalozi na makamishna awalohudhuria tafrija hiyo kufikisha ujumbe kwa nchi zao kwani ni watoto, wanawake na wazee ndo wanaoathirika zaidi na vikwazo hivyo.

Pia alikumbushia kwamba na wao hao wawakilishi na familia pia kwa namna moja ama ingine nao wanaathirika na vikwazo hivyo.

Raisi Dr Magufuli pia lihimisha ushirikiano wa kibiashara wa nchi hizi mbili na akatika nyanja zingine kama siasa na utamaduni.

Alisema katika kipindi kirefu nchi hizi zimekuwa zikikazania masuala ya kisiasa tu badala ya masuala mengine ya msingi kama uchumi na kwamba maraisi hao wawili sasa wameamua kuzishirikisha nchi zao kwenye masuala mbalimbali ya biashara na uwekezaji,

Pia wamekubaliana kishirikiana katika kusimamia na kudhibiti maliasili ya nchi hizo khasa madini.

Kwa upande wa raisi Emmerson Mnangagwa amesema raisi magufuli amemshauri masuala mengi lakini kuu likiwa ni uhakiki wa watumishi wa idara zote za serikali ili kuondoa watumishi hewa.

Raisi Mnangagwa huku akiongea alimgeukia mwenyekiti wa kamisheni ya tume ya ajira na kumwanbia kwamba raisi magufuli ameondoa watumishi hewa 34,000 hivyo alimtaka kufuata ushauri huo.

Pia raisi Mnangagwa aliishukuru Tanzania kwa msaada iliotoa wakati wa maafa ya kimbunga Idai kilichotokea mwezi March mwaka huu.

Alipowasili mjini harare raisi Dr Magufuli pia alilakiwa na makamu wa raisi Kembo Mohadi, mawaziri, mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali nchini Zimbabwe na maofisa wa ngaz za juu wa serikali.

Katika ziara hiyo raisi Magufuli pia anaongozana na Makongoro Nyerere ambae ni mbunge wa bunge la jumuiya ya Afrika mashariki.

NB: Habari hii nimeitafsiri kutoka gazeti la Herald la Zimbabwe.

Waandishi ni Zvamaida Murwira na Elita Chikwati.
 
Wa matejo

Member
Oct 19, 2018
22
45

Ni jambo jema kama watakubali ombi hilo!
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,644
2,000
Yeye mwenyewe ana matatizo na nchi hizo katika nyanja ya demokrasia na wanachokiita wao 'haki za binadamu'...je ni mtu sahihi kusililizwa nao hao.
 
Lord eyes

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,405
1,995
Kama sio vile anaigiza kwa taifa letu bhana alikuwa akiongea huku ameshika nini mkononi wakuu
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
11,225
2,000
Yeye mwenyewe ana matatizo na nchi hizo katika nyanja ya demokrasia na wanachokiita wao 'haki za binadamu'...je ni mtu sahihi kusililizwa nao hao.
Matatizo yapi hayo ya kidemokrasia na nchi hizo?

Fafanua.
 
Dalalims

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
235
250
Magufuli optimistic of Zim economic revival

Raisi Dr Magufuli akipokewa na mwenyeji wake raisi Emmerson Mnangagwa alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robert Mugabe mjini Harare jana jioni.

Raisi Dr John Magufuli amesisitiza kwamba Zimbabwe ipo kwenye njia sahihi ya kuufufua uchumi wa nchi hiyo na kuuboresha kupitia njia sahihi na mipango madhubiti ya serikali ya raisi Emmerson Mnangagwa.

Akizungumza kwenye tafrija maalum iloandaliwa kwa ajili yake kwenye Ikulu ya Harare, raisi Magufuli amesema tangu raisi Mnangagwa kuingia madarakani uchumi wa Zimbawe umeanza kuimarika na akaziomba nchi za magharibi kuondoa vikwazo vya kiuchumi ili kuinusuru nchi hiyo.

Raisi DR Magufuli alisema " mheshimiwa Mnangagwa niruhusu nitumie nafasi hii kukupongeza kwa jitihada ulozichukua za kuuborsha uchumi na kupelekwa maendeleo kwenye jamii na kuibadili Zimbabwe kiuchumi.

"Tangu uingine madarakani kuwa raisi Zimbabwe imepiga hatua kubwa kiuchumi, uwekezaji umeongozeka na uhaba kwenye bajeti umepungua.

Akifafanua zaidi na kuonyesha anafahamu anachokiongelea raisi Magufuli alisema, " nimesoma taarifa yako ya kiuchumi na nimeona ukuaji wa asilimia 3.5 kwa mwaka jana jambo ambalo halikutarajiwa na mwaka huu uchumi uanatarajiwa kukua kwa asilimia 4.2 na mwakani unatarajiwa kukua kwa aslimia 4.4

Raisi aliendelea kusema, " bila shaka huwezi kupima ukuaji huo kwa kuushika na akatika kipindi chochote cha mpito watu hawawezi kuona mabadiliko yoyote.

Mwishoni raisi Magufuli akasema " na bila shaka wapo wale ambao hawaamini jitihada hizo zinazofanywa lakini ujumbe utkuwa umetumwa na umefika au message has been sent and delivered"

Raisi Magufuli pia alitumia nafasi hiyo kuziomba nchi za Marekani na jumuiya ya Ulaya kuiondolea vikwazo vya kiuchumi Zimbabwe kwani ni wananchi wa kawaida ndo wapatao shida.

Alisema Zimbabwe sasa imegunfuka kwa jumuiya ya kimataifa na akawaomba mabalozi na makamishna awalohudhuria tafrija hiyo kufikisha ujumbe kwa nchi zao kwani ni watoto, wanawake na wazee ndo wanaoathirika zaidi na vikwazo hivyo.

Pia alikumbushia kwamba na wao hao wawakilishi na familia pia kwa namna moja ama ingine nao wanaathirika na vikwazo hivyo.

Raisi Dr Magufuli pia lihimisha ushirikiano wa kibiashara wa nchi hizi mbili na akatika nyanja zingine kama siasa na utamaduni.

Alisema katika kipindi kirefu nchi hizi zimekuwa zikikazania masuala ya kisiasa tu badala ya masuala mengine ya msingi kama uchumi na kwamba maraisi hao wawili sasa wameamua kuzishirikisha nchi zao kwenye masuala mbalimbali ya biashara na uwekezaji,

Pia wamekubaliana kishirikiana katika kusimamia na kudhibiti maliasili ya nchi hizo khasa madini.

Kwa upande wa raisi Emmerson Mnangagwa amesema raisi magufuli amemshauri masuala mengi lakini kuu likiwa ni uhakiki wa watumishi wa idara zote za serikali ili kuondoa watumishi hewa.

Raisi Mnangagwa huku akiongea alimgeukia mwenyekiti wa kamisheni ya tume ya ajira na kumwanbia kwamba raisi magufuli ameondoa watumishi hewa 34,000 hivyo alimtaka kufuata ushauri huo.

Pia raisi Mnangagwa aliishukuru Tanzania kwa msaada iliotoa wakati wa maafa ya kimbunga Idai kilichotokea mwezi March mwaka huu.

Alipowasili mjini harare raisi Dr Magufuli pia alilakiwa na makamu wa raisi Kembo Mohadi, mawaziri, mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali nchini Zimbabwe na maofisa wa ngaz za juu wa serikali.

Katika ziara hiyo raisi Magufuli pia anaongozana na Makongoro Nyerere ambae ni mbunge wa bunge la jumuiya ya Afrika mashariki.

NB: Habari hii nimeitafsiri kutoka gazeti la Herald la Zimbabwe.

Waandishi ni Zvamaida Murwira .

HAPO MZEE JPM AMETUMIA BUSARA. HAO WAMAREKANI NA WAINGEREZA NAO WAWE NA UBINADAMU, WANANCHI WA ZIMBABWE WANAUMIA KIMAISHA INA MAANA WAZUNGU HAWAONI? ROHO ZAO NI KATILI SANA.
 
Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
4,930
2,000
Trump hajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania. Tokea awe Rais hadi leo bado hajamteua balozi wa kuiwakilisha USA Tanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom