Rais Magufuli awaandalia Futar Wakazi wa Pwani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Waumini wa Kiislamu mkoa wa Pwani wakiswali swala ya Magharibi kabla ya kupata futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli katika Ikulu ndogo mjini Kibaha akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu mkoani Pwani
ffe3698612bff25d028fd34c0d6084c4.jpg
7bef2ebea6d1e9c33e69523209eb5bc8.jpg

eddf72ad71ef396e8e5053498b6d2e5e.jpg
f77ecbce229e62f84f291985f26d87bb.jpg
596108355cd2a9d41a7b4284a65608a7.jpg
666ba7de3c3dc7c428ed3236943f4f73.jpg
ced2f3325c78b1bfc22943e6a87572eb.jpg
f4b21e4b0052a2b3015a4e5fbf10bca1.jpg
 
Naamini JPM hampendi Riz1 bi basi tu hana jinsi......zile scandal zake na yale maneno m yooote basi tuuu hana jinsi ila rohoni rohoni nafsi yake haiko nae.....namshauri amkalie mbali!!!!
 
Magu huwa ananifurahisha sana kwa style yake ya oversize!

Suti Mikono huwa unaelea na Kumbe hata kwny Kanzu Swaga ni zile zile!
Mnikulu wa Ikulu anajisahau sana kwny Jukumu la Kumvalisha Mh. Rais

Mufti Sheikh Zubeir naona Kaombwa kwa Muda nae awe 'Mkazi' wa Pwani kwa Heshma ya Mh. Rais wakati ni Mkaazi wa Kinondoni Block 41
 
Mungu Baba wa mbinguni anayaona haya, iwapo wangelifanya haya ule upande wa pili kufuturisha watu leo wangetafutwa na vyombo vya dola. Haya yote anayatazama tu, ipo siku hatakaa kimya!
 
Magu huwa ananifurahisha sana kwa style yake ya oversize!

Suti Mikono huwa unaelea na Kumbe hata kwny Kanzu Swaga ni zile zile!
Mnikulu wa Ikulu anajisahau sana kwny Jukumu la Kumvalisha Mh. Rais

Mufti Sheikh Zubeir naona Kaombwa kwa Muda nae awe 'Mkazi' wa Pwani kwa Heshma ya Mh. Rais wakati ni Mkaazi wa Kinondoni Block 41
Mkono wa sweta...

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kuna mijitu hainaga dress code.Yaani hii utakuta mpaka kulala inalala na minguo yao ya chama.Kha!
 
Jamani hawa ni viongozi wa CCM aka Makada wa Chama Cha Makinikia,nivyema mkasema RAIS/Mwenyekiti wa CCM awafutarisha viongozi wa CCM mkoa wa Pwani!Msiudanganye umma
 
Dah ad naona wale ndugu zangu nao wamepiga kanzu na vibaragashee... full kujimix na kuendana na mazingira
 
Back
Top Bottom