Rais Magufuli awaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Ikulu Chamwino Dodoma

Ndio rais anaingia ukumbini wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm wamekaribishwa ikulu kumbuka ikulu hii ni sehemu ya ilani ya ccm 2015-2020 leo wanavuna matunda ya kazi kubwa ya ccm

Wasanii kama wote wameungana na chama dume ccm diamond. Kiba .zuchu.na n.k kama kawa

Karibu


USSR



Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Viva CCM

Aluta Continua.
 
Katika namna ya kipekee sherehe kabambe inaendelea viwanja vya Ikulu Chamwino kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu, wasanii pro CCM na waalikwa wengine ikiwa ni kuiaga rasmi Ikulu kwa Chama cha Mapinduzi ambacho kimeitumia kwa takribani miaka 59.
Ni ubunifu wa kipekee wa Rais Magufuli kuona badala ya kuondoka kimya kimya hapo 25/10/2020 bora Leo hii wanaccm wafaidi mapochopocho katika eneo hilo kabla hawaja likabidhi kwa chama kingine.
Hongera Magufuli kwa maono yako ambayo wengi hawajaelewa bado.

View attachment 1504422


Huku mitaani kipindi hiki ukiwanunulia watu/wananchi/wanachama chakula, unakamatwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Mzee anatoa rushwa waziwazi bele yaya waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali wala hakuna wa kumuuliza, bali wanampongeza. Hiki ni kituko.
 
Hao wanaopewa chakula ni wasannii wakiwa wanatuzwa jukwaa gani.
Acha upuuzi
Huku mitaani kipindi hiki ukiwanunulia watu/wananchi/wanachama chakula, unakamatwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Mzee anatoa rushwa waziwazi bele yaya waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali wala hakuna wa kumuuliza, bali wanampongeza. Hiki ni kituko.
 
Ni wkt wa kukata na kugawana keki ya taifa ili hao mbwa ccm wasiwe wanamhoji jamaa chochote anachotaka kupitisha au kufanya.....maana kwa sasa ameapa kuvunja katiba na asishitakiwe.....
 
Back
Top Bottom