Rais Magufuli awaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Ikulu Chamwino Dodoma

Kwa wale Wakatoliki nafikiri wataielewa hii story. Wakati Pope Benedict XVI akijivua cheo chake kutokana na "incapability" kuweza kuimudu nafasi hiyo kwa vigezo vya kiafya.

Kadinali Angelo akiamini kuwa analindwa na mila na desturi za dhehebu ili kubwa za Kiitaliano, aliingia ktk "conclave" huku akiamini kuwa yeye ndiye "to be elected Pontiff". Lakini moshi mweupe ulipotokea alikuwa ni Kadinali Mario Bergoglio kutoka Argentina kuwa ndiye Pope Francis I mwenye kupewa dhamana ya kuliongoza dhehebu hili kubwa, lenye idadi ya waumini kwa mabilioni hapa ulimwenguni.

Upinzani wapo Tundu Lissu na Bernard Membe kama washiriki makini ktk kinyang'anyiro cha nafasi ya uraisi. Kuanza mapema kujipongeza kama washindi ni kosa kubwa sana kimkakati.
 
Back
Top Bottom