Rais Magufuli awaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo Julai 03, 2018 Ikulu Dsm

Rais Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Julai 03, 2018 Ikulu Dar Es Salaam.

Mwaliko huu unawahusu Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Maspika na Majaji Wakuu.

Hii ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana na Rais Ikulu.

Tazama TBC1 kuanzia saa 4:10 asubuhi hii.

Update yote ya kitakachojiri utaipata hapa hapa kwenye hii thread.

======

UPDATES:

Baadhi ya Viongozi Wastaafu wameshawasiri.

=> Matangazo ya Mkutano wa Mhe. Rais Magufuli na Viongozi Wakuu Wastaafu yatawajia muda sio mrefu.

Tunaomba radhi kwa kuchelewa.

=> Wengine walioalikwa ni Waziri mkuu Majaliwa na Spika wa bunge Ndugai pia.

UPDATE13:30HRS

Rais Magufuli anasema;

Wazee wangu karibuni sana. Nmeamua kuwakaribisha sababu nyie ni wazee wetu ambao mumeitumika nchi katika vipindi mbalimbali na hapa Ikulu ni kwenu.

Nimewaita tukae tuzungumze tushauriane ili tujue tunaelekea wapi, Nahitaji ushauri wa wazee.

Na ninyi pia inaweza kuwa ni nafasi nzuri kwa wazee waliolitumikia taifa kwa nafasi mbalimbalimbalimbali kusema neno.

Nmewaita ninyi wazee wangu, bahati nzuri ninyi wote nimefanya kazi na nyie katika kipindi chenu tofauti. Mkapa ulinichagua naibu Waziri na Sumaye alikuwa Waziri mkuu, Nikachaguliwa tena Sumaye alikuwa waziri mkuu na Msekwa alikuwa Spika. Bilal alikuwa makamu wa rais nilifanya kazi na Pinda akiwa Waziri mkuu.

Na mimi natamani siku mmoja nistaafu niwe miongoni mwenu.

Nimepata nafasi ya kufanya kazi ya urais nikiwa na wazee wa kutosha. Nina marais wastaafu watatu. Katika Afrika ni nchi chache sana zenye bahati kama hii.

Nimepata nafasi ya kufanya kazi kukiwa na makamu wa rais, Mawaziri wakuu wastaafu kama Msuya, Salim, Msekwa, Sumaye, Lowassa, Pinda. Spika Wastaafu Wawili, Waziri wakuu wapo saba, Majaji wakuu watatu. Ni furaha sana.

Napenda kusikia kutoka kwenu twende uelekeo upi. Ntawaeleza nliyoyatekeleza na niayoyafanya hadi hapa tulipofikia na ninyi mtasema yapi mngependa yafanyike.

Naamini mazungumzo yetu ya kawaida kabisa yanaweza kutusaidia sisi wadogo zenu na vijana wenu tukawa na mengi ya kuzungumza na sisi tukawaeleza tunayoyafanya. Hilo ndio dhumuni kubwa.

Tanzania hii ni moja tunapeana vijiti anatoka huyu anaingia mwingine. Naomba mjisikie mpo nyumbani. Najisikia nipo na wazee wangu nategemea kujifunza kutoka kwenu. Wazee wangu karibuni sana.

Nmejisikia raha wazee nmewaita mnakuja japo sijawambia sababu ya kuwaita. Nakahisi hamtakuja lakini nashukuru kwa kuacha kazi zenu na kuamua kuja. Wengine siku nyingi sijawaona. Jaji Ramadhani sijakutana naye na Samatta sijakutana naye tangu astaafu. Sumaye tulikutana alipokuwa Hospital anaumwa sababu nlienda kumtembelea na Lowassa alikuja kunitembelea hapa Ikulu.

Nmefurahi kuwaona mkiwa na afya njema. Karibuni sana tuzungumze.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu na viongozi wastaafu ambao anakutana nao kwa mara ya kwanza wote kwa pamoja.

Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam tayari kukutana na kuzungumza na mwenyeji wao Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyewaalika.

Viongozi Wakuu wastaafu wakimsikiliza Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza nao leo.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mtaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, John Samuel Malecela.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Spika Mstaafu, Pius Msekwa.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Spika Mstaafu, Anne Makinda.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Barnabas Samatta.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhan.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim.
Mkinipangia ndo mnaharibu zaidi na hampati kituhh..
 
Lowasa na Sumaye wamwambie kuhusu anayowafanyia wapinzani. Sumaye asema alivyoonewa , Mbowe alivyoonewa etc. Kama hakuyasema haya basi . Nchi sasa ni kuna uhasama mkubwa kati ya wana jamii, bado tu kulipuka.
 
Kumbe hawa wastaafu wote wanaishi Dsm,

Wataalamu tuambieni, naona kuna baadhi ya wastaafu wanamshika Mh Rais kwa mikono miwili na wngine kwa mkono mmoja, ipi tofauti kati ya hizo aina mbili za ushikanaji wa mikono?
 
U regard yourself as a boy (in ur avatar) meaning you're still very immature.... Back to the topic huu ni mwaka wa ngapi? Next year watakuwa bize na Uchaguzi serikali za mitaa, next year general election and you're still stupidly talking that time to see results is not essential??
Nilijua yatakuja haya. ila ukitaka maendeleo binafsi, jitahidi upambane usije tegemea walio juu wakukwamue. Wale wanafanya yao na wewe fanya yako, acha wazee wakumbushane huko faragha ya ikulu
 
Back
Top Bottom