Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 493
Huyu Andrea MASSAWE leo ana upako wa hataree....kule kwa NIDA, yupo, ( In Makongoro Nyerere's tone), na hapa pia YUPO... saaafi kaisa..
Nipo nipo, Curiosity Killed the Cat. Ni kweli usemalo.Siku nyingi mkuu! Hawa jamaa wamechanganyikiwa. Mkuu kawabana kisawasawa.
udini??? toa pumba hapa.Kuna Dr muislamu kwenye huo uteuzi, macho yangu sio mazuri kwetu mvua imeshamiri
Sio kauli nzuri mkuu.Hapo simlaumu sana mana waislam mlikimbilia elimu akhera...mkaona elimu dunia haina ishu...sasa mnalia lia mkiwa hampo kwenye teuzi...
Pelekeni watoto shule na sio madrasa
Upako?Huyu Andrea MASSAWE leo ana upako wa hataree....kule kwa NIDA, yupo, ( In Makongoro Nyerere's tone), na hapa pia YUPO... saaafi kaisa..
Ila ukweli unauma mkuu. Watoto wapewe elimu na sio kushinda madrasaSio kauli nzuri mkuu.
Weye waonaje?Upako?
Mkuu soma vizuri uzi(thread) ndio uchangie kuliko kukurupuka tu.Hivi kwanini sijaona kamati ya kuangalia mikataba ya hizo vitu mnaziita Madini!? Tafadhali mheshimiwa Raisi unda tuma ya kuangalia mikataba yote hivi tunasubiri makaa ya mawe yawe kama madini?
Jaribu kuangalia mikataba kama unatupenda mchanga ni matokeo ya mikataba na kila Mara utaunda tume adi uchoke
Hiki kichwa kila mwezi kinaapisha tu.
Mungu akutangulie mkuu daima tunakuombea . Ndie rais pekee ujuae mtanzania anataka niniRais Dkt John Pombe Magufuli Ameteuwa Wajumbe Wa Kamati Ya Pili Itakayofanya Uchunguzi Wa Madini Yaliyomo Kwenye Mchanga
[HASHTAG]#HapakaziTu[/HASHTAG]
View attachment 493580
Mbaya zaidi huko wanakoenda hawapewi nafasi ya kutumia ujuzi wao.Hivi huko vyuoni wadogo zetu watafundishwa na nani ...nahisi kama vile amebaki Dr. Bana pekee!