Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

Huyu Andrea MASSAWE leo ana upako wa hataree....kule kwa NIDA, yupo, ( In Makongoro Nyerere's tone), na hapa pia YUPO... saaafi kaisa..
 
Hivi kwanini sijaona kamati ya kuangalia mikataba ya hizo vitu mnaziita Madini!? Tafadhali mheshimiwa Raisi unda tuma ya kuangalia mikataba yote hivi tunasubiri makaa ya mawe yawe kama madini?

Jaribu kuangalia mikataba kama unatupenda mchanga ni matokeo ya mikataba na kila Mara utaunda tume adi uchoke
 
kipara kinatafuta mvuto sasa baada ya kugundulika hana mvuto tena tz hadi majuu..kipara kimefail
 
Hivi kwanini sijaona kamati ya kuangalia mikataba ya hizo vitu mnaziita Madini!? Tafadhali mheshimiwa Raisi unda tuma ya kuangalia mikataba yote hivi tunasubiri makaa ya mawe yawe kama madini?

Jaribu kuangalia mikataba kama unatupenda mchanga ni matokeo ya mikataba na kila Mara utaunda tume adi uchoke
Mkuu soma vizuri uzi(thread) ndio uchangie kuliko kukurupuka tu.

Kamati tajwa hapo juu ambayo itaapishwa kesho ina wachumi na wanasheria watakuja na majibu yote.

Tuvumilie na tumuombe mheshimiwa rais.
 
Ha haa! Baada ya majibu ya kamati ya kwanza kutofautiana na taarifa ambazo raisi alipewa na wanyetishaji wake, ameona labda hii tume ya pili itakuja na majibu 'sahihi'! Ngoja tusubiri maana namuona hadi Profesa wa uchumi Profesa Ossoro!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom