Rais Magufuli atuma kombola kuharibu mapato ya halmashauri

Sasa umeelewa?
Kwa hiyo nikivaa kitambulisho na kwenda mfano sok la Tengeru nitafanya biashara bila kulipa ushuru wa soko? Nilivyomuelewa Mh. Raisi ni kuwa wakuu wa Mikoa na Wilaya wanatakiwa kuanisha maeneo ya hao wajasiria mali wanaopewa vitambulisho. Maeneo ya masoko yako chini ya halmashauri sidhani kama yanawahusu hawa wa vitambulisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau!
Sina mengi zaidi ya Hili vitambulisho vya machinga ambavyo vimeelezea Kuwa machinga ni wale wote wenye mitaji ya chini ya 4million.
Kwa jicho la makengeza Naona wastani mkubwa wa biashara nyingi zilizopo kwenye halmashauri zitaingia katika group la machinga na Kwa maana hii watalipa 20000 ambayo itaenda Kwa mtukufu Wetu. Hapa ofisi za biashara za halmashauri jiandaeni kisaikolojia na hivyo vibari vyenu vya biashara maana havina kazi tena na Kwa bahati mbaya wagawaji wanataka sifa mtasikia muda Siyo mrefu wakuu wa mikoa na wilaya wanajinadi viongenzwe kwani havitoshi wamachinga wanaunga mkono juhudi za maendeleo Kumbe wanajimaliza wenyewe.

Rais Wetu anajihujumu mwenyewe
Naomba unitajie huduma tano tu unazopata consistently toka kwa halmashauri yako pendwa.
 
Habari wadau!
Sina mengi zaidi ya Hili vitambulisho vya machinga ambavyo vimeelezea Kuwa machinga ni wale wote wenye mitaji ya chini ya 4million.
Kwa jicho la makengeza Naona wastani mkubwa wa biashara nyingi zilizopo kwenye halmashauri zitaingia katika group la machinga na Kwa maana hii watalipa 20000 ambayo itaenda Kwa mtukufu Wetu. Hapa ofisi za biashara za halmashauri jiandaeni kisaikolojia na hivyo vibari vyenu vya biashara maana havina kazi tena na Kwa bahati mbaya wagawaji wanataka sifa mtasikia muda Siyo mrefu wakuu wa mikoa na wilaya wanajinadi viongenzwe kwani havitoshi wamachinga wanaunga mkono juhudi za maendeleo Kumbe wanajimaliza wenyewe.

Rais Wetu anajihujumu mwenyewe

Hata vile viwanda vidogo vidogo (vyerehani) navyo vinai gia kwenye kundi la machinga
 
Wacha mambo ya kijinga, halmashauri gani inaendeshwa kwa ushuru wa miatano wa wamama wauza bamia na nyanyachungu? Tena za kutandaza kando ya barabara, Hizo zilikuwa dhulma kwa wamama wajane tu

wakati munawakimbiza na mgambo wa jiji huo ushuru mlikuwa mnaukusanya vipi? Shenzi zenu!
 
Hongera mzalendo. Tumepata mtetezi wa wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hicho kidogo hakina kazi, kwa nini kimekwapliwa kwenda serikali kuu?. Tumia hakiri yako vizuri. Kila mwaka halmashauri wanapanga budget kwa mapato ya ndani

Back
Top Bottom