Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
HAKI HUINUA TAIFA kwa kuanzia!
Kwa hali inavyo onekana Uchaguzi wa Serkali za Mitaa(SM) 2019 huenda ukavuruga amani,
upendo na mshikamano tulio nao Watz.
Vitendo na Vituko vinavyofanywa na Wasimamizi wa Uchaguzi huu(Serikali~TAMISEMI)dhidi ya vyama pinzani ni uonevu usiovumilika!
Haiwezekani kila kitongoji, mtaa na kata wapinzani wote aidha wakosee kujaza fomu au wawe hawana sifa!
Hili ni jambo lisilo ingia akilini hata kidogo. Kinacho onekana hapa ni mkakati wa kuhakikisha upinzani hawapati nafasi yoyote.
Rais kama mlinzi nambari waheed wa Taifa anatakiwa atoe tamko katika hili.
Kukaa kwake kimya itaonekana na yeye ni sehemu ya mkakati huu!
Kwa ushauri ni kwamba wapinzani wapewe equal opportunity wapambane kwenye sanduku la kura Watanzania waamue wenyewe wanamtaka nani?
Kila Mwananchi ameona mafanikio ya CCM chini ya uongozi wa JPM katika hii miaka 4. Hivo hakukuwa na sababu ya kuminyana na Wapinzani kwa kutumia mbinu nje ya ballot box!