Rais Magufuli atishia kuteua Mkuu wa Magereza kutoka JWTZ

Mwime-Kahama

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
338
250
Safi sana, Kanali kwa kujiamini anasema "Jeshi halishindwi"...ni vizuri watendaji wakasoma nyakati,huyu mkuu wa nchi wa sasa huwa hatanii,yupo tiyari hata akosee arekebishe baadae na inakuwa ishakula kwa mtu/watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
I just can't believe it, ni 3 years since we voted the Hon Magufuli lakini anao wateua bado hawajui la kufanya. How on earth ataenda kwenye kila mradi????? asipoenda kazi haifanyiki. Magereza wameshindwa tena they had free labour from the inmates yet they didn't know how to utilize them. JPM ni lazima aende kwenye kila mradi ndiyo kazi ifanyike.He gave them Tsh10 billion, if they were to impress him they should have used wafungwa to do 60% of the work and save 4 billion. Hakuna project management, ni mpaka aende yeye kukagua, He is the President and they want him to be the Project Manager every project in Bongo?

Look at this one - aliwakumbusha vipi watekaji wa Mo imekuwaje? Sirro akatuambia, he will provide a response in 3 days, I haven't heard anything. They know the house where he was detained, the owner etc etc yet they have to wait for JPM kuwakumbusha kuwa wananchi are not fools.

Swala la wahujumu uchumi, how on earth TUKU... wanachukua miaka 5+ bado kila kitu kiko Kusutu. What is the use of established court ya wahajumui. Anyone ameishapelekwa huku. My friends Peter Noni et al wanaoza mahabusu for more than 18 months, what is going on - wafungwe au waachiliwe. Huwatendewi haki hapo kukaa keko for so long. I just don't get it you lock them up then you start investigating them - on what grounds did you lock them up in the first instance. Eti Kisutu does not deal with economic satboteurs, so why send them there?
 
lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,996
2,000
Hata timu ya taifa anatamani iundwe na wanajeshi tu, wakati tuna timu za jeshi kama Tz prisons, na ile ya Masaubwire zinafungwa mpaka magoli 5 kwa sifuri.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,860
2,000
napendekeza wakuu wa mikoa wote wawe na cheo cha Meja ....hii nchi itanyooka tu....na nikisema itavyooka namaanisha kweli itanyoooka!!
 
mikeimani

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
3,035
2,000
Wabongo kwa uvivu utawaweza?. Tabia ya kuchapa kazi, ubunifu , kuwa serious na kazi ni sifuri kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom