Rais Magufuli atia grisi kwenye uchumi; Kutoa bilioni 200 kulipa madeni ya wafanyakazi na watoa huduma wa ndani

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,780
Leo Ikulu jijini Rais Magufuli alimuaga gavana anayemaliza madaraka yake, Beno Ndulu na kumkaribisha Luoga. Baada ya maagano amesema amepanga kuanzia mwezi ujao kulipa madeni ya ndani ikiwemo ma-suppliers wa chakula kwenye shule na vyuo pia contractors kwani kwa sasa uchumi unaenda vizuri sana na kuna pesa nyingi.

Rais Magufuli pia amesema yapo madeni ya wafanyakazi kama walimu na kutaka madeni yote ya wananchi yalipwe na atatoa bilioni 200 zikalipe. Amedai angeweza kutoa hata kesho lakini uhakiki upite kwanza na wakimaliza mapema amemruhusu gavana azitoe.

Amesema anaamini zitawasaidia wananchi kwa sababu bilioni 200 sio kitu kidogo kuzitoa kwa pamoja na wadeni wote wa ndani wanaoidai serikali walipwe.

Magufuli amesema anaamini magavana watakubaliana nae hio ni njia mojawapo ya kuboost(Kuhuisha) uchumi kwani bilioni 200 zinazotolewa zitasambaa kwa wananchi na gavana anaechukua madaraka alisimamie vizuri.

Kukurupuka. Com
Zimeidhinishwa na Bunge au ni kujichotea tu
Anajidanganya sana. Tunafahamu Hii nchi haina pesa sasa anaanza kuvuruga pesa za miradi
Vichanga vinamtoa akili bwana yule.....umri huu kha no wonder kila kitu ni zigzag.....
 
vichanga vipi?
 
hahahahahh.. inchi ngumu hii jamani...yaani kama alivyojisemea Nyani..you have to be thick skinned to be President of this country!

You are damned if you do. You are damned if you don't!

Good luck Ngosha!
 
Labda kwa vile ni msukuma mwenzako ila unajua fika kuwa alichoongea hatokitekeleza! Yeye utekelezaji wake ni kwenye adhabu tu huko kwingine ni zero! Ameongea kuhusu hela mara ngapi? Hapendi watu wapate kitu kinachoitwa fedha anapenda wanyonge!
 
Back
Top Bottom