Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya 9 na Wakuu wa Mikoa, Thobias Andengenye awa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mwanri astaafu

Kamishina wa magereza kilombero mbona kama kuna namna inapangwa kulindwa!!!!!!??? Au ni vipi

Kwani ninyi mnaokaa Temeke yule mwanamama mjema alishapigwa chini akaingia huyo bw felix? Au mie ndiyo sijui ya huko dar
 
temeke wamefurahi sana itakua!! manispaa pale kuna watumishi wana shirikiana na mvamizi wa kiwanja fulan pale rangi tatu wamevamia na jamaa anawapa hela ilhali hana uhalali wowote wa uwepo wake pale.na hadi mkuu wa wilaya aliyeondolewa Lyaniva analifahamu na hakuchukua hatua yoyote
 
Naona kuteua maafisa wa jeshi kwenye nafasi za kisiasa sasa limekuwa jambo la kawaida.

Katiba yetu haitaki Afisa wa jeshi awe mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Mikoa ya mipakani ni vema kuweka watu wenye uelewa na maswala ya ulinzi
 
Naomba kupata ufafanuzi hivi sheria imekaaje kuhusu wakuu wa Mikoa na Wilaya kustaafu. Nilikuwa nikidhani hawa watu hawana mamb ya kustaafu.
Lakini katika kipindii hiki nimeona wengi wakiistafu. swali langi ni kuwa mbona kuna wakuu wa mikia wanaonekana watu wazima zaidi na bado wapo sujasikia kuwa wamestaafu. Mafn mkuu wa mkoa wa Dom, Mahenge na yule wa Mwanza.. au kuna kitu kingine kinazingatiwa.
Wa Mwanza umri haujaenda bado
 
Habari zenu wana wa JF

Nimepata habari saivi kuwa RAS Simiyu, Jumanne Sagini sio RAS tena na nafasi imezibwa na ofisa kutoka Ikulu.

Je, katenguliwa au ni upepo wa kustaafu uliorindima leo? Mwenye taarifa tafadhali atujuze.
 
Habari zenu wana wa JF.
Nimepata habari saivi kuwa RAS Simiyu, Jumanne Sagini sio RAS tena na nafasi imezibwa na ofisa kutoka Ikulu. Je katenguliwa au ni upepo wa kustaafu uliorindima leo? Mwenye taarifa tafadhali atujuze.
Sajini imekula kwake.mla rushwa huyo kwa awamu hii Hana nafasi akafuge mbuzi
 
Back
Top Bottom