Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

....kweli ccm ni ile ile....yani watu wengine wamekataliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa ubunge leo eti wanapewa ukuu wa mkoa!!...hii ni ajabu ya JPM...kumbe utawala huu mengi hatutaona mapya....mtu anaeshindwa kiti cha ubunge leo unampa mkoa auongoze!!..hii imekaaje hii....yani kwenye pool ya watu wake JPM amekosa kweli watu hadi anateua makapi ya utawala uliopita!!tena walioshindwa ubunge.....huku kupeana mashavu kumbe hakutaisha nchi hii....nothing has indeed changed....ni mbwembwe tu....
 
Wakuu salama!....

Ile list ya leo nimeiona. Sijui macho yangu ni mabovu au sijaangalia vizuri. Vipi huyu jamaa anayeitwa Humphrey Pole Pole naye yupo?....

Kama hayupo, basi ngoja aendelee kuisoma namba, manake kipindi cha kampeni alikuwa anatokwa povu tu kama kichaa...!
 
Hayumo
 
mkuu kuna watu wengine walihukumiwa basi tu, kwa mfano Agrey Mwanry mlimnyima tu kura zenu bila sababu...eti mabadiliko
 
Mkuu hebu nisomee vizuri na mm sijaona. kwani kabila la wagogo Wa Dodoma wako wangapi? Maana sijaona mm. Acheni ujinga Wa kutuletea mambo yasiyofaa, kila Mmoja akianza kudai lake hatutafika.
Tukisema tunaonekana wazushi, ila ukweli utabaki kuwa teuzi za magufuli zipo biased sana.

Kwa mwendo huu anazalisha
jipu ambalo litatuweka pabaya kama taifa.

Tumesema na hatutochoka kusema hili.
 
Hii sio tuhuma tena bali ni dhahiri shahiri nchi inaenda kutawaliwa katika mfumo wa dayosisi na sio mikoa tena.tusubiri wakuu wa wilaya ndo watakamilisha parokia zao.duh,kikwete alikuwa fair sana pande zote.
We panya buku anadhani hizi Zama za kumteua upupu
 
Wakuu salama!....

Ile list ya leo nimeiona. Sijui macho yangu ni mabovu au sijaangalia vizuri. Vipi huyu jamaa anayeitwa Humphrey Pole Pole naye yupo?....

Kama hayupo, basi ngoja aendelee kuisoma namba, manake kipindi cha kampeni alikuwa anatokwa povu tu kama kichaa...!

Chuki, Chuki, chuki.

Hakna mahala katika mazungumzo yako bwana Pole alidai kupewa cheo.

Punguza chuki za kichadema
 
Hongera mjomba angu kwa kuupata uku Wa mkoa......kila la kheri uncle katika kazi ngumu iliyoko mbele yako.....ninafuraha sana.
 
Back
Top Bottom